Pesa za plea bargaining zimepotea. Well, that is interesting. Lakini sasa hivi watu wanataka kuiona serikali mpya ya Rais Samia

Pesa za plea bargaining zimepotea. Well, that is interesting. Lakini sasa hivi watu wanataka kuiona serikali mpya ya Rais Samia

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining.

Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
 
kasema yeye ni muoga, naamini inawezekana hata hizo pesa zimepotea awamu yake

"Mama" kama anauona uzezeta wa yule RC wa ule mkoa kule juu ni "utundu" usitegemee kuona lolote awamu yake,sasa hivi watu wanalia maisha yamekuwa juu
 
Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos,anakwenda Dakar,anazitafuta pesa za plea bargaining.

Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
Kwa hiyo unataka kusema nini?
 
Jiwe alikuwa mtu hatari sana kwa Taifa hili
na bado ni hatari, maana amefariki ila waliopo bado wanaogopa kivuli chake.

inabaki stori za zimeibiwa, sijui hazionekani alafu hakuna hatua zinazo chukuliwa

jiwe atabaki kuwa mwamba miaka mingi
 
Back
Top Bottom