Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Feb 1, 2023 #1 Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Feb 1, 2023 #2 kasema yeye ni muoga, naamini inawezekana hata hizo pesa zimepotea awamu yake "Mama" kama anauona uzezeta wa yule RC wa ule mkoa kule juu ni "utundu" usitegemee kuona lolote awamu yake,sasa hivi watu wanalia maisha yamekuwa juu
kasema yeye ni muoga, naamini inawezekana hata hizo pesa zimepotea awamu yake "Mama" kama anauona uzezeta wa yule RC wa ule mkoa kule juu ni "utundu" usitegemee kuona lolote awamu yake,sasa hivi watu wanalia maisha yamekuwa juu
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,935 Feb 1, 2023 #3 Poppy Hatonn said: Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos,anakwenda Dakar,anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali. Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema nini?
Poppy Hatonn said: Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos,anakwenda Dakar,anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali. Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema nini?
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 14,830 Reaction score 14,472 Feb 1, 2023 #4 Jiwe alikuwa mtu hatari sana kwa Taifa hili
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 11,432 Reaction score 24,596 Feb 1, 2023 #5 Allency said: Jiwe alikuwa mtu hatari sana kwa Taifa hili Click to expand... na bado ni hatari, maana amefariki ila waliopo bado wanaogopa kivuli chake. inabaki stori za zimeibiwa, sijui hazionekani alafu hakuna hatua zinazo chukuliwa jiwe atabaki kuwa mwamba miaka mingi
Allency said: Jiwe alikuwa mtu hatari sana kwa Taifa hili Click to expand... na bado ni hatari, maana amefariki ila waliopo bado wanaogopa kivuli chake. inabaki stori za zimeibiwa, sijui hazionekani alafu hakuna hatua zinazo chukuliwa jiwe atabaki kuwa mwamba miaka mingi
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Feb 1, 2023 #6 Wafuasi wa Jiwe ,sijui wanajisikiaaje ?!