Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Habarini wakuu.
Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza.
Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa benki ya biashara kwa riba ya 9 % maana yake benki inatakiwa kurudisha bilioni mia moja na tisa. Inapata wapi hizi bilioni 9?
Benki ya biashara nayo ikakopesha hizi bilioni mia zote kwa riba ya 15% kwa wafanyabiashara. Maana yake itataka irudishiwe bilioni mia moja na kumi na tano. Wafanyabiashara wanapata wapi hizi bilioni kumi na tano?