Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
BOT inakopesha mkuuHeee kumbe BOT inakopesha benki ndogo hizo kwa 9% , duuu kwani serikali inafanya biashara???
Ahsanta sana MkuuNimependa swali. Ngoja nishiriki kujibu.
Kwanza, kabla ya kuchapisha bil 100 tayari kuna hela zingine kwenye mzunguko wa fedha. Na riba itatokana na fedha zingine zilizokuwepo tayari kwenye mzunguko kabla ya bil 100 kuingizwa. Enewei, najua hiki sicho ulichotaka kuelewa, tuendelee.....
Pili, kama kwa mara ya kwanza ndio nchi inaundwa kwa maana ya kwamba bil 100 ndio kwa mara ya kwanza zimeingizwa kwenye mzunguko kama vile hakukuwa kabisa na fedha zingine kabla basi hakuna riba itakayopatikana (kila kitu kiwe constant). Serikali inabaki kuwe ime supply fedha kwenye mfumo. Najua hiki ndicho haswa ulichokuwa unakiwaza.
Lakini, uhalisia ni kwamba fedha zilishaanza kuzunguka kitambo sana miaka nyuma sana. Ishu ya riba kwa serikali ni kama ishu ya kodi tu. Kwamba, serikali inarudisha fedha mikononi mwake halafu inarudisha tena kwenye mizunguko ya mikono ya wananchi wake.
Pointi ya kuzingatia ni hiki: Fedha zikiwa nyingi sana kwenye mzunguko (over supply) mfumuko wa bei unakuwa mkubwa na inaweza kuangusha serikali kutoka madarakani na maisha yanakuwa magumu sana. Ndio maana serikali hulazimika kurejesha fedha mikononi mwake mara kwa mara kwa njia ya kodi, ushuru, tozo, riba na njia yeyote yenye kufanikisha fedha kurudi serikalini.
Kumbuka zaidi: Sio dhamira ya Serikali wananchi wengi kuwa na fedha nyingi mikononi mwao....dhamira ni wawe na fedha kidogo tu kwa ajili ya kulipia bills. Fedha nyingi mikononi mwa wananchi wengi ni anguko la serikali.
Nashukuru kwa kuelewa. Shida ipo hapo. Fedha inayotakiwa kurudi benki na benki kuu ni kubwa kuliko iliyotoka. Hii ziada watu waitoe wapi?Me nishamuelewa Ila nashindwa namna Ya Kujibu Ngoja Tusubr Wataalam Maan Kama pesa ndio kwanza ishachapishwa hy riba wanayotaka itatokea wap wakat wao wamechpsh b100 tu na sio b109
Au kwenye pesa za kigeni?
Shukrani mkuu. Nimeelewa kwa kiasi kikubwa.Nimependa swali. Ngoja nishiriki kujibu.
Kwanza, kabla ya kuchapisha bil 100 tayari kuna hela zingine kwenye mzunguko wa fedha. Na riba itatokana na fedha zingine zilizokuwepo tayari kwenye mzunguko kabla ya bil 100 kuingizwa. Enewei, najua hiki sicho ulichotaka kuelewa, tuendelee.....
Pili, kama kwa mara ya kwanza ndio nchi inaundwa kwa maana ya kwamba bil 100 ndio kwa mara ya kwanza zimeingizwa kwenye mzunguko kama vile hakukuwa kabisa na fedha zingine kabla basi hakuna riba itakayopatikana (kila kitu kiwe constant). Serikali inabaki kuwe ime supply fedha kwenye mfumo. Najua hiki ndicho haswa ulichokuwa unakiwaza.
Lakini, uhalisia ni kwamba fedha zilishaanza kuzunguka kitambo sana miaka nyuma sana. Ishu ya riba kwa serikali ni kama ishu ya kodi tu. Kwamba, serikali inarudisha fedha mikononi mwake halafu inarudisha tena kwenye mizunguko ya mikono ya wananchi wake.
Pointi ya kuzingatia ni hiki: Fedha zikiwa nyingi sana kwenye mzunguko (over supply) mfumuko wa bei unakuwa mkubwa na inaweza kuangusha serikali kutoka madarakani na maisha yanakuwa magumu sana. Ndio maana serikali hulazimika kurejesha fedha mikononi mwake mara kwa mara kwa njia ya kodi, ushuru, tozo, riba na njia yeyote yenye kufanikisha fedha kurudi serikalini.
Kumbuka zaidi: Sio dhamira ya Serikali wananchi wengi kuwa na fedha nyingi mikononi mwao....dhamira ni wawe na fedha kidogo tu kwa ajili ya kulipia bills. Fedha nyingi mikononi mwa wananchi wengi ni anguko la serikali.
Shukrani
Asante. Maana kiukweli nilikuwa sijaelewa swali lake kwa uwezo wangu wa kufikiri😀. Jibu lako limenipa mwang wa swali lakeNimependa swali. Ngoja nishiriki kujibu.