Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii

Na wengine hawana deni wanalodai na hawana deal lolote na hata salary hana ila ataandika amen..!
Dini hizi zina ujinga sana.
Watu ujinga umewazidi!

Mtu kusoma kote kichwa kimebaki kama tikiti maji miaka yote madarasani hakuna kilichoingia vichwa vimejaa maji matupu.
 
Umeongea kwa code sana. Hela ipi mkuu funguka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…