Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda simama barabarani ndani ya dk 20 ana zaidi ya 70,000. Anajua mitego ya sehemu watu wana fanya makosa.
Huwa anasema jinsi alivyo mrembo wanaume wakware huwa wakikamatwa naye kwa ujinga wanamwambia "traffic mrembo badala ya kulipa hii 30,000 serikali si bora nikupe wewe tu ya soda?" So hawataki iingie kwenye system.
Hivyo wanataka awasamehe then awape namba ya simu. Anawapa namba moja ambayo hiyo huwa nakuwa nayo mimi.so waki beep wanaona inaita wanashukuru wanaondoka.yeye anazikunja.
Hapo labda anatafuta pesa ya sis kwendea hotel moja nzuri tukaspend day and a night.
Sasa ninyi jifanyeni vidume...endeleeni kumhonga.mimi hizo pesa nazila.la muhimu natumia kinga na wala huwa sifutilii simu zake. Mtoto ni mzuri sana.sana....rangi,mwili na sura.mpaka nashangaa why amekuwa traffic. Na anaendesha gari yake safi tu.
Anasema mshahara wake huwa anautoa tu bank kama ushahidi sababu asipotoa itakuwa msala.so anatoa anaenda jengea au anaingiza kwenye biashara zake.siku ananionesha ana milion 7 home nlishangaa. Anaweka kwenye kibubu.
Nyie endeleeni tu kumhonga badala ya kuchangia Serikali mnanichangia mimi. Au kawapeni wazazi wenu na wenye uhitaji.