Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

Itakuwa nmb tu. Walimuibiaga ndugu yangu mmoja Arusha laki moja 2015 tena aliyemubia ni kabinti tu. Kumbe bado wanaendelea na hii tabia mbofumbofu. Likija swala la uaminifu Tanzania ni janga kuliko njaa na ukimwi.
Na ndio hio
 
Habari yenyewe umeandika general sana kama hauna uhakika na taarifa unayotoa. Ungetaja jina la bank na kuelezea walau for how long imechukua kufanikisha?...
Ok nilichukua kama wik kuipata na hio bank n NMB ...na mjomba na bibi hawakupewa kabisa hio pesa mpaka leo
 
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..

Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.

Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya kubashiri wakati sina hata simu banking, nilipigwa na butwaa

Baada ya kupatwa na hasira na kufuatilia serious nikaambiwa pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo humo bank

Nikaenda hadi ngazi za juu wakanirudishia, sasa hili sakata limetokea tena kwa bibi yangu na mjomba wangu mmoja laki saba mwingine milioni moja

Ina maana bank hakuna usalama kabisa kiasi hicho...?
kama pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo ndani ulitakiwa break yua kwanza iwe polisi. wizi huo.
 
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..

Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.

Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya kubashiri wakati sina hata simu banking, nilipigwa na butwaa

Baada ya kupatwa na hasira na kufuatilia serious nikaambiwa pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo humo bank

Nikaenda hadi ngazi za juu wakanirudishia, sasa hili sakata limetokea tena kwa bibi yangu na mjomba wangu mmoja laki saba mwingine milioni moja

Ina maana bank hakuna usalama kabisa kiasi hicho...?
Benki Gani hiyo tuiepuke kuweka hela
 
Kwani mna mwana familia chenga chenga kutoka familia yenu yupo kwenye hilo bank🤔
 
Kuna bank kama mbili waliwahi kunifanyia upumbavu huo!
Moja wafanyakazi waliagizia mzigo wa nguo kutokea Bangladesh, cha kushangaza nikapokea email inanitaka ni sign kuidhinisha malipo! Ilinichujua 3 weeks hela kurudishwa!

Wapili wao walinyima hela kabisaaaa na imeshaingia! Aisee hawa waliniomba moaka marriage certificate na mengineyo na hela sikuipata!! Ila baada ya wiki ilirudi ila cha mtema kuni walikipata yaani wao na waajiri wao! Walipata pigo!

Watatu hawa walinipa golden card ila kumbe wamezioda mbili! Nikitoa na wao wanatoa! Ila na wao hawatakaa wanisahau!

WIZI UPO KWENYE MABENKI!
BOT NA WIZARA INABIDI WAINGILIE KATI
Bila kutaja bank huo ni unafiki na lamri
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Uwezekano wa rafiki wa karibu aliyedukua taarifa za ndugu je?
Yaan hii imetokea kwa nyakati tofautii na sina ndugu wala rafiki japo kadi ililiwa na hapo ndo kimbembe kilipo anzia nlipoenda ndan wakanambia nrudi kesho wanipe wamenizungusha kunipa nkaenda kutoa naambiwa sina hata mia nkabak nashangaa kuuliza wananambia nmecheza michezo ya kubahatisha kitu ambacho sijawahi kufanya
 
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..

Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.

Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya kubashiri wakati sina hata simu banking, nilipigwa na butwaa

Baada ya kupatwa na hasira na kufuatilia serious nikaambiwa pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo humo bank

Nikaenda hadi ngazi za juu wakanirudishia, sasa hili sakata limetokea tena kwa bibi yangu na mjomba wangu mmoja laki saba mwingine milioni moja

Ina maana bank hakuna usalama kabisa kiasi hicho...?
Kwamba wanauchungulia mzigo
 
Back
Top Bottom