Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

Ok nilichukua kama wik kuipata na hio bank n NMB ...na mjomba na bibi hawakupewa kabisa hio pesa mpaka leo
Nilijua tu....hyo bank siku hzi imekuwa na wafanyakazi wakora wakora
 
Nani asiyeiba katika hii nchi? Hata maparoko wanapora sadaka za Bikira Maria.

Wanakwambia hili ni FUKO LA MAMA BIKIRA MARIAA kumbe ni FUKO LA PAROKO.

Tunapigwa kila eneo, ukigeuka kushoto unakutana na kichapo cha tozo za samia na genge lake la akina MwiguRu.
 
Back
Top Bottom