Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

Itakuwa nmb tu. Walimuibiaga ndugu yangu mmoja Arusha laki moja 2015 tena aliyemubia ni kabinti tu. Kumbe bado wanaendelea na hii tabia mbofumbofu. Likija swala la uaminifu Tanzania ni janga kuliko njaa na ukimwi.
Na ndio hio
 
Habari yenyewe umeandika general sana kama hauna uhakika na taarifa unayotoa. Ungetaja jina la bank na kuelezea walau for how long imechukua kufanikisha?...
Ok nilichukua kama wik kuipata na hio bank n NMB ...na mjomba na bibi hawakupewa kabisa hio pesa mpaka leo
 
kama pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo ndani ulitakiwa break yua kwanza iwe polisi. wizi huo.
 
Benki Gani hiyo tuiepuke kuweka hela
 
Kwani mna mwana familia chenga chenga kutoka familia yenu yupo kwenye hilo bank🤔
 
Bila kutaja bank huo ni unafiki na lamri
 
Reactions: Lax
Uwezekano wa rafiki wa karibu aliyedukua taarifa za ndugu je?
Yaan hii imetokea kwa nyakati tofautii na sina ndugu wala rafiki japo kadi ililiwa na hapo ndo kimbembe kilipo anzia nlipoenda ndan wakanambia nrudi kesho wanipe wamenizungusha kunipa nkaenda kutoa naambiwa sina hata mia nkabak nashangaa kuuliza wananambia nmecheza michezo ya kubahatisha kitu ambacho sijawahi kufanya
 
Kwamba wanauchungulia mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…