Pesa zilizotumika kutengeneza filamu ya Royal Tour ni mali ya nani?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya:
1. Serikali ndio iliyoomba watu mbalimbali wachangie pesa za kuandaa hiyo filamu.

2. Serikali ndio iliyoratibu ukusanyaji wa michango ya pesa hizo.

3. Serikali ndio iliyoratibu matumizi ya hizo pesa.

4. Hizo pesa hazikutoka serikalini.

Sasa ni muda muafaka wa kujua hizo pesa ni mali ya nani ili kuondoa sintofahamu yoyote kwa sasa na huko baadaye.
 
Ili iweje ?
 
Mali ya pita sababu hata filamu ni mali yake
 
Back
Top Bottom