Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Nimekaa tu inaingia sms kuwa nmewekewa muamala kiasi flani. Tarakimu 5. Nikanyamaza tu. Ikatumwa sms whatsapp
" Boss tugawane hicho kidogo nashukuru sana umetusaidia"
Basi nikamwambia asijali ni mambo ya kawaida. Hii si mara ya kwanza. Toka nimeshika hiki kitengo mwaka jana mwishoni. Alhamdulilah si haba. Na kitambi kimekuja. Wale mademu waliokuwa wananisumbua kwa sasa wanazileta wenyewe nanii zao.
Pesa haijifichi ndugu zanguni.. nikikumbuka nilivyokuwa nakosa pesa ya kununulia mihogo na utumbo wa kuku. Sasa nakula utumbi wa kuku nitakavyo na firigrisi au miguu
Penda kazi yako tu. Sometimes unabeba abiria anaenda kupiga deal unamwaisha, au anaenda fumania. mademu wana namba zangu sana. Huyu mmoja yeye nimemla kwa sababu tu kipindi hiki mjamzito huwa nampelekea zawadi ya udongo. Anapenda sana. Mwishowe kaniita kwake mumewe akiwa amesafiri Kongo. Nika enjoy....
Hapo wale wa kunitumia pesa na ya kutolea au wanataka kunituma sehemu. Kuna wa kunituma chips mishkaki. Hapo lazima nami nichukue finyango kadhaa. Kifupi maisha yanaenda fresh kwa siku nakunja mpaka 20,000 faida tu. Hapo nimekula na kunywa na nmepata kipozeo.