KERO Pet Scan haifanyi kazi wiki sasa hospitali ya Ocean Road

KERO Pet Scan haifanyi kazi wiki sasa hospitali ya Ocean Road

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jan 27, 2018
Posts
80
Reaction score
60
Ni week ya pili sasa tokea tumeweka appointment kwa ajili ya kipimo cha PET scan katika hospital ya Ocean Road lakini huduma zimesimama kutokana na machine kupata changamoto na mpaka sasa hatujui ni lini huduma zitarejea

Tunaomba mamlaka husika na uongozi wa Ocean Road kufatilia kwa kina kwani inazidisha hofu kwa mgonjwa ukizungatia risk ya huu ugonjwa wa saratani.

Asante.
 
Kwanini usimpeleke hospital nyingine? Kwahiyo mgonjwa wako azidiwe na kupata madhara kisa Ocean Road mashine mbovu?
 
Poleni sana ndugu, machawa yatakuja kukuambia ni msikivu na anaupiga mwingi !

Angalieni alternative nyingine..... afya ndio kila kitu
 
Back
Top Bottom