Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Pitia hii makala kwanzaKiongozi katika hayo yote uliyotaja, China kwenye utamaduni tu ndipo anatolewa kwingine kooote China yupo vizuri...
Kwa hilo CHina ni superpower...
Utamaduni wa magharibi wenyewe ndio huo kujumuisha na ushoga, kusagana na ushenzi mwingine.
Na huwezi kusema China si superpower kisa kazidiwa utamaduni, naelewa utamaduni wa magharibi unauza zaidi duniani... na si kuanza jana au juzi, hata USSR haukuwahi kuifikia US katika utamaduni lakini ilikuwa superpower...