Pete Hegseth, Waziri wa Ulinzi mteule Marekani asema anaunga mkono Israel kuwaangamiza na kuwaua kila mwanachama wa Hamas aliyesalia hai

Pete Hegseth, Waziri wa Ulinzi mteule Marekani asema anaunga mkono Israel kuwaangamiza na kuwaua kila mwanachama wa Hamas aliyesalia hai

Kiongozi katika hayo yote uliyotaja, China kwenye utamaduni tu ndipo anatolewa kwingine kooote China yupo vizuri...
Kwa hilo CHina ni superpower...

Utamaduni wa magharibi wenyewe ndio huo kujumuisha na ushoga, kusagana na ushenzi mwingine.
Na huwezi kusema China si superpower kisa kazidiwa utamaduni, naelewa utamaduni wa magharibi unauza zaidi duniani... na si kuanza jana au juzi, hata USSR haukuwahi kuifikia US katika utamaduni lakini ilikuwa superpower...
Pitia hii makala kwanza

Wanataka wahamie China😀 ujue marekani kuna wagonjwa wa akili wengi sana
......... Lakini cha ajabu kila mtu anatamani aende kwao hata jihadists wote na wewe ukiwemo wanaota ndoto ya kwenda Marekani.
 
......... Lakini cha ajabu kila mtu anatamani aende kwao hata jihadists wote na wewe ukiwemo wanaota ndoto ya kwenda Marekani.
Ila wewe ni mpuuzi sana.

Haishangazi kila siku kuwa Imeloa kama kichwa chenyewe ndio kimejaza maujinga haya.
 
Back
Top Bottom