Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Hahahaha....sasa na yeye atafidia vipi usumbufu aliopata?
alivyokuwa ananindandia?
imekula kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha....sasa na yeye atafidia vipi usumbufu aliopata?
ahh fasta sana naenda kuibadirisha na kuifanya pete ya kawaida inakuwa km fidia ya usumbufu kwa sababu zozote zle mimi au yeey chanzo.
Ala kumbe kupenda kwa ni kwa msimu? Eeh mola tunusuru na hili gharika!!!inategemeana, mie nitairudisha kama inaninyima amani, ila kama nina amani na nilimpenda kwa dhati ya moyo wangu wote, basi kwa heshima ya moyo wangu uliompenda hata akiniomba nitamuomba aniachie kwa ajili ya ukumbusho hadi nitakapopata mchumba mwingine ndio nimrudishie. sio lazima niivae, naweza kuiweka tu kabatini au kwenye dressing table niwe naitazama ninapovaa nguo