Pete za ndoa na mahusiano ya nje ya ndoa

Pete za ndoa na mahusiano ya nje ya ndoa

Sasa pete tu ndo inakutatiza wakati siku hizi mke na kimada wote wanakalishwa chumba kimoja na bado wahusika hawaoni aibu?

Nwyz wengi hawaridhiki na ndoa zao...tamaa zinawasumbua na hawajatulia sasa wakikutana na wakufanana nao huko nje pete wanaiona kama mkufu tu!!Sio zaidi ya urembo kwao.
 
Huwa wanaziona sana lakini huwa wanajifanya kama hazina maana kwa muda huo. Akitoka pale ndo anamkumbuka mwenza wake.
 
Huwa wanaziona sana lakini huwa wanajifanya kama hazina maana kwa muda huo. Akitoka pale ndo anamkumbuka mwenza wake.

Hiyo avatar imenikumbusha mbali kweli "How to sleep in the office"
 
sasa pete zimekuwa ni fashion tu, hazina umuhimu wowote, unaweza kuta bintio hajaolewa na amevaa, ndoa ni moyoni kwa mtu.
 
Na wakikutana na pete za ndoa wote mkononi watu hudhani wameoana kumbe wote wezi mweeeee

Kama ulikuwapo kwani mwanzo wa mada hii ni jana tu nilipo kutana na rafiki zangu wawili jinsia tofauti wote najua kwamba ni wanaishi ndani ya ndoa na wanapete safiii za ndoa. Kama ni makini utagundua zi tofauti kabisaaaa. Kumbe bwana hawa jamaaa wana mahusiano nje ya ndoa. Can u imagine??
 
Ukitaka kuprovu kwamba maadili yameisha ndo hapo sasa..acheni tu malipo yako tayari,wakitoka huko kila moja na+ alafu yatima wanakuwa victims,mama na bb walijirusha taabu inabaki kwa watt
 
Ukitaka kuprovu kwamba maadili yameisha ndo hapo sasa..acheni tu malipo yako tayari,wakitoka huko kila moja na+ alafu yatima wanakuwa victims,mama na bb walijirusha taabu inabaki kwa watt

Hapo chacha ndo pagumu!
 
suala lapete kuwa speed governor liliisha siku nyingi tu.
mi naona watu wengi siku hizi wanavaa pete kama "mapokeo" tu
na si zaidi ya hapo.
 
Kuna mtu aliniambia (wo)men don't want a (wo)man others don't want.
 
Pete imekuwa ni urembo tu, nakumbuka jamaa mmoja alikuwa anasema akienda na mpango wa nje kwenye hoteli anavua pete akimaliza mambo yao wakaachana anaivaa tena kazii kweli kweli
 
Pete ya ndoa imepoteza "pete" maana hata Mashoga na Machangudoa wanaava "pete za ndoa"!
 
Haijalishi, kwa mapenz ya sasa pete hazina thamani, mambo ni kiubishi bishi tu! Jamani lets go back to marriage ethics an values, hapa kuna matatizo!
 
Tatizo cyo pete,watoto wa siku hizi watamu bwana asikuambie mtu
 
Back
Top Bottom