kwa yoyote alieoa na kuolewa na avae icho kitambulisho alichokikubali mwenyewe cku anajiingiza kwenye cub ya ndoa bila kulazimishwa na yoyote, lakini ndio hivyo tena kia mtu anazichukulia ki vyake, kwangu mie cjawahi kuivaa mwaka wa 6 sasa.
Ungekuwa mke wangu ungesha kamata talaka zako tatukwa yoyote alieoa na kuolewa na avae icho kitambulisho alichokikubali mwenyewe cku anajiingiza kwenye cub ya ndoa bila kulazimishwa na yoyote, lakini ndio hivyo tena kia mtu anazichukulia ki vyake, kwangu mie cjawahi kuivaa mwaka wa 6 sasa.
Hapo sasa hebu niambie sababu ni nini haswa? Nina hakika bado unayo hiyo pete
Ungekuwa mke wangu ungesha kamata talaka zako tatu
ndi amna cjawa mkeo mana leo ndoa kesho tungepeana talaka....hatuwezani kabisa mie na we...
kwanini mwanzo uivae na baadae uamue kuacha kuivaa?????????
bado ninayo, ndio kitambulisho changu nilichoapa nacho altareni, na wewe ulishawahi kuivua? pale unapotokea dogodogo.
Hehehehe wanasema eti lazima mmoja awe juu mwingine awe chini yaani fahari wawili hawakai zizi moja.
Hilo liko wazi.Hehehehe wanasema eti lazima mmoja awe juu mwingine awe chini yaani fahari wawili hawakai zizi moja.
Sijawahi kuwa na pete my dear! huenda mwakani nitavaa, ishallah. ila mara nyingi mechi za mchangani na wajasilia mali wenye ndoa zao mara nyingi huwa hawana pete zao!
Hilo liko wazi.
Nyamayao lazima angekuwa chini na mimi juu (yake)
Na wale dada zetu ambao kwa uhakika hawako kwenye ndoa wana vaa za nini? Mbona wakaka wasio na ndoa hawana time na hizo pete?
Tangu nivishwe hiyo kitu sijawahi kuivua. Kinachotokea napoenda kwenye mechi za mchangani huwa naitoa mkono wa kushoto na kuhamishia kulia. Vinginevyo mtarimbo unalala doro. Nadhani nimeathirika kisaikolojia au rozari anayopiga mama matesha si mchezo............unavuaga pete? na kwanini.