Pete za Ndoa

Pete za Ndoa

Wengine ni wazinzi bwana hataki kujulikana kama wameo/kuolewa ..
Lakini kuna wengine wanaharibu maana ya ndoa ..unakuta mtoto STD 1 kavaa pete ya ndoa
 
Kwa nini uone aibu kuivaa pete yako ya ndoa? Kwani hata kama umepata changudoa kwani ni vibaya kumweleza kuwa umeoa? Kwa kawaida binadamu yeyote ambaye nafahamu ana ndoa na pete yake huwa havai moja kwa moja ninamdharau sana. Nilipoolewa/oa miaka hiyo nilikuwa mwembamba na baada ya muda nilinenepa na pete ikawa ndogo. Mara moja mimi na mke/mume wangu tulichonga pete nyingine tena nzuri zaidi kwani wakati tunaoana tulikuwa na kipato kidogo na pete zilikuwa za kawaida. Kwa sasa pete zetu ni classic na mara baada ya kuzipata moja kwa moja tulienda kwa wachunga kondoo kuzibariki na tukavishana tena kwa upya mbele yake. Ile ya engagement ya enzi hizo tena kalikuwa kembaba na kakito kadogo ka kawaida kwa sasa ni rubi na almasi!!! Vaa pete yako ya ndoa na kifo ndipo kitaiondoa tu na wala si malaya atakusababishia hayo. Tubadilike.
 
Mimi mke wangu avae asivae hainisumbui provided she loves me. Mtu anaweza kuvaa hata ya thamani kama ile ya aliyovishwa Happiness Magesse-USD 70,000 na bado akawa kiwembe bin Kicheche. Pete ni kama mabati tu mimi naamini zaidi kwenye upendo wa dhati na sio lazima uwe demonstrated na pete kwenye vidole vyote 10.
 
hivi kumbe unategeka kirahic hivyo? bac mie nimeshakutega.

Mhhhh kwa kweli kati ya vyote kikuku cha dhahabu mguu wa kushoto wa dada mhhhhhh hata maji siwezi meza
 
1.wapo wanaovua wakati wapo kwenye harakati za kuwaibia wake/waume zao.Wasipovua wanaona kama mwenzake anamwangalia vile?
2.Wapo ambao hawataki kabisa kujulikana kuwa wapo kwenye ndoa.
3.Wapo pia ambao kutokana na dhiki kuu ya ndoa anaona bora aivue japo kwa muda
4. Wakati fulani baada ya kuoana unakuwa bonge na pete haIkuenei kidoleni,je uilazimishe?
5.Kuna wale ambao wako mawindoni sasa kuondoa vizuizi/vipingamizi wanaamuakutovaa.
6.Mwisho ni kuwa wanavua ili waonekane wapo SINGLE.
7.Wapo pia ambao hawajaolewa/kuoa lakini wanazivaa.........
NILISHASEMA HAPO AWALI KUWA MTU KUVAA AU KUTOKUVAA PETE HAINA MAANA KUWA YUPO KWENYE NDOA AU LA,HASA HAPA DAR,
 
Mimi mke wangu avae asivae hainisumbui provided she loves me. Mtu anaweza kuvaa hata ya thamani kama ile ya aliyovishwa Happiness Magesse-USD 70,000 na bado akawa kiwembe bin Kicheche. Pete ni kama mabati tu mimi naamini zaidi kwenye upendo wa dhati na sio lazima uwe demonstrated na pete kwenye vidole vyote 10.

Umenena Mkuu,

Mimi mara nyingi sana pete nasahau kuvaa - Mbagala Charambee tunaamka saa 10 kuwahi foleni! - kwahiyo kusahau ni kama kawa. Pia kuna wengine kutokana na ulaji wa "mnyama" miili inafumuka kama puto including vidole kwahiyo pete inakuwa sehemu ya karaha - ndio maana tunaivua -

Mwisho ikumbukwe kuwa - kwa watu kama Masanilo ambao mnajichanganya sana - Mwanaume mwenye pete ni "dili" kwa "viruka njia" - tendency ni kwamba utakuwa mtu wa "once-off" lakini dau lako ni la kumaliza matatizo!
 
1.wapo wanaovua wakati wapo kwenye harakati za kuwaibia wake/waume zao.Wasipovua wanaona kama mwenzake anamwangalia vile?
2.Wapo ambao hawataki kabisa kujulikana kuwa wapo kwenye ndoa.
3.Wapo pia ambao kutokana na dhiki kuu ya ndoa anaona bora aivue japo kwa muda
4. Wakati fulani baada ya kuoana unakuwa bonge na pete haIkuenei kidoleni,je uilazimishe?
5.Kuna wale ambao wako mawindoni sasa kuondoa vizuizi/vipingamizi wanaamuakutovaa.
6.Mwisho ni kuwa wanavua ili waonekane wapo SINGLE.
7.Wapo pia ambao hawajaolewa/kuoa lakini wanazivaa.........
NILISHASEMA HAPO AWALI KUWA MTU KUVAA AU KUTOKUVAA PETE HAINA MAANA KUWA YUPO KWENYE NDOA AU LA,HASA HAPA DAR,

hilo linawatokea wengi, hata mie! niliibadili na naendelea kuvaa., ni sawa kama usemavyo lakini kama mivalishana kama kiapo chenu kwanini uivue?
 
Laazizi mambo? Wikiendi ulipotelea wapi? Nahisi kuibiwa ibiwa tu!

Samahani wadau -> Off topic
 
Umenena Mkuu,

Mimi mara nyingi sana pete nasahau kuvaa - Mbagala Charambee tunaamka saa 10 kuwahi foleni! - kwahiyo kusahau ni kama kawa. Pia kuna wengine kutokana na ulaji wa "mnyama" miili inafumuka kama puto including vidole kwahiyo pete inakuwa sehemu ya karaha - ndio maana tunaivua -

Mwisho ikumbukwe kuwa - kwa watu kama Masanilo ambao mnajichanganya sana - Mwanaume mwenye pete ni "dili" kwa "viruka njia" - tendency ni kwamba utakuwa mtu wa "once-off" lakini dau lako ni la kumaliza matatizo!

Pete zinaleta heshima sana kwa wanaume! Ukikutana na mrembo akiona huna pete anapata wasi wasi huenda utakuwa King'anganizi...nadhani ndo maana wanaume huzilazimishia. Ila kwa wadada nadhani zinawashushia heshima ndo maana wengi akina Nyamayoa hawazivai
 
Laazizi mambo? Wikiendi ulipotelea wapi? Nahisi kuibiwa ibiwa tu!

Samahani wadau -> Off topic

umevua pete ye2?...nipo laaziz majukumu tu,haibiwi mtu hapa yaani jiamini 101% laaziz.
 
Pete zinaleta heshima sana kwa wanaume! Ukikutana na mrembo akiona huna pete anapata wasi wasi huenda utakuwa King'anganizi...nadhani ndo maana wanaume huzilazimishia. Ila kwa wadada nadhani zinawashushia heshima ndo maana wengi akina Nyamayoa hawazivai

zinatushushia heshima kivipi?..mie cjawahi kuivua yangu aisee..
 
Unanichanganya!

kwa yoyote alieoa na kuolewa na avae icho kitambulisho alichokikubali mwenyewe cku anajiingiza kwenye cub ya ndoa bila kulazimishwa na yoyote, lakini ndio hivyo tena kia mtu anazichukulia ki vyake, kwangu mie cjawahi kuivaa mwaka wa 6 sasa.
 
Pete zinaleta heshima sana kwa wanaume! Ukikutana na mrembo akiona huna pete anapata wasi wasi huenda utakuwa King'anganizi...nadhani ndo maana wanaume huzilazimishia. Ila kwa wadada nadhani zinawashushia heshima ndo maana wengi akina Nyamayoa hawazivai

Nimeshuhudia mara kadhaa mabinti wakisema buzi lililo oa ndo lenyewe linachunika sasa hapo alama pekee ni pete.
Sisi ving'ang'anizi alafu uso wa mbuzi tukiangaliwa kwenye vidole patupu mrembo anaishia kusema wewe si wa type yangu.
 
Hahahaha mpwa kumbe ndo maana unavaa mikono yote pete in case of any suspicious!
 
Back
Top Bottom