Hizi fashion dada zangu.....mara vikuku, chupiless, maungo nje mradi mtutege tu!
Mi naona hawajatutega vizuri. Wangetembea uchi kabisa kama ng'ombe......Hizi fashion dada zangu.....mara vikuku, chupiless, maungo nje mradi mtutege tu!
Mimi mke wangu avae asivae hainisumbui provided she loves me. Mtu anaweza kuvaa hata ya thamani kama ile ya aliyovishwa Happiness Magesse-USD 70,000 na bado akawa kiwembe bin Kicheche. Pete ni kama mabati tu mimi naamini zaidi kwenye upendo wa dhati na sio lazima uwe demonstrated na pete kwenye vidole vyote 10.
1.wapo wanaovua wakati wapo kwenye harakati za kuwaibia wake/waume zao.Wasipovua wanaona kama mwenzake anamwangalia vile?
2.Wapo ambao hawataki kabisa kujulikana kuwa wapo kwenye ndoa.
3.Wapo pia ambao kutokana na dhiki kuu ya ndoa anaona bora aivue japo kwa muda
4. Wakati fulani baada ya kuoana unakuwa bonge na pete haIkuenei kidoleni,je uilazimishe?
5.Kuna wale ambao wako mawindoni sasa kuondoa vizuizi/vipingamizi wanaamuakutovaa.
6.Mwisho ni kuwa wanavua ili waonekane wapo SINGLE.
7.Wapo pia ambao hawajaolewa/kuoa lakini wanazivaa.........
NILISHASEMA HAPO AWALI KUWA MTU KUVAA AU KUTOKUVAA PETE HAINA MAANA KUWA YUPO KWENYE NDOA AU LA,HASA HAPA DAR,
hilo linawatokea wengi, hata mie! niliibadili na naendelea kuvaa., ni sawa kama usemavyo lakini kama mivalishana kama kiapo chenu kwanini uivue?
Umenena Mkuu,
Mimi mara nyingi sana pete nasahau kuvaa - Mbagala Charambee tunaamka saa 10 kuwahi foleni! - kwahiyo kusahau ni kama kawa. Pia kuna wengine kutokana na ulaji wa "mnyama" miili inafumuka kama puto including vidole kwahiyo pete inakuwa sehemu ya karaha - ndio maana tunaivua -
Mwisho ikumbukwe kuwa - kwa watu kama Masanilo ambao mnajichanganya sana - Mwanaume mwenye pete ni "dili" kwa "viruka njia" - tendency ni kwamba utakuwa mtu wa "once-off" lakini dau lako ni la kumaliza matatizo!
Laazizi mambo? Wikiendi ulipotelea wapi? Nahisi kuibiwa ibiwa tu!
Samahani wadau -> Off topic
Pete zinaleta heshima sana kwa wanaume! Ukikutana na mrembo akiona huna pete anapata wasi wasi huenda utakuwa King'anganizi...nadhani ndo maana wanaume huzilazimishia. Ila kwa wadada nadhani zinawashushia heshima ndo maana wengi akina Nyamayoa hawazivai
Hivi ukitendwa hiyo pete ina umuhimu gani tena kidoleni??
zinatushushia heshima kivipi?..mie cjawahi kuivua yangu aisee..
kwa yoyote alieoa na kuolewa na avae icho kitambulisho alichokikubali mwenyewe cku anajiingiza kwenye cub ya ndoa bila kulazimishwa na yoyote, lakini ndio hivyo tena kia mtu anazichukulia ki vyake, kwangu mie cjawahi kuivaa mwaka wa 6 sasa.
Pete zinaleta heshima sana kwa wanaume! Ukikutana na mrembo akiona huna pete anapata wasi wasi huenda utakuwa King'anganizi...nadhani ndo maana wanaume huzilazimishia. Ila kwa wadada nadhani zinawashushia heshima ndo maana wengi akina Nyamayoa hawazivai
Hivi ukitendwa hiyo pete ina umuhimu gani tena kidoleni??
Nimeshuhudia mara kadhaa mabinti wakisema buzi lililo oa ndo lenyewe linachunika sasa hapo alama pekee ni pete.
Sisi ving'ang'anizi alafu uso wa mbuzi tukiangaliwa kwenye vidole patupu mrembo anaishia kusema wewe si wa type yangu.