Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Inaezekana huyo wakili kasoma kuliko mawakili wote.
Usishangae chama cha mawakili kikamtoa kwa sababu za uongo kama fatma karume
 
kuna kituo kimoja Temeke kilitwa B , maana kulikuwa na A , B , C , na D , Msimamizi aliniambia kwamba jumla ya wapiga kura walikuwa 150 lakini wapiga kura waliojitokeza hawakufika 100 , Tundu Lissu alipata kura 76 , Magufuli 16 , zilizobaki waligawana wengine .

lakini nje ya kituo hicho ikabandikwa Magufuli 374 , Tundu Lissu 26 , huku ndio kuungwa mkono kwa ccm unakokusema ?
kwa uongo mwingine kama huu wasiliana na mtoa koment hii @ erthrocyte.com😂😂
 
je unafaham kwamba nimesimamia uchaguzi huu 2020??
Unataka useme kipindi unapga kura ulipewa taarifa kuwa wangapi wamepiga kura?? Wewe kama nani kwanza??
Propaganda za kishamba kabisa mkuu🤔
Any way nilichogundua wewe pia ni ccm dam zaidi hata ya polepole😂😂

Kama sio kadi ya nini kama mwanamapinduzi kweli??
Zamani zetui ilkuwa ni lazima uwe na kadi ya ccm na cheti cha ubatizo ili upate huduma,mfano passport,ajira etc.so wengi tunazo mpaka Leo ingawa huwa hatuzilipii ada.
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala.

Kama walikuwa wanatetewa in lieau of their CHADEMA membership, na walipata matatizo wakiwa kazini CHADEMA na wanafadhiliwa gharama za uwakili na chama basi wangesema CHADEMA imeondoa ufadhili wake kwa watuhumiwa.

Ili kusudi Kibatala asimomonyoe hadhi na misingi ya uwakili kwa kuachia kazi mid stream.

Kuna somo la mwaka wa pili linaitwa legal ethics, linakataza mambo kama haya, lakini Tanzania hakuna anayeheshimu hadhi ya profession.
Hahaha usichoelewa nini, kibatala wakili wa chadema analipwa na chadema kwenye hiyo kesi, Halima Mdee na wenzake kama anavyojitambulisha mwenyewe wameshafukuzwa uanachama wa chadema sasa kwanini Kibatala aendelee kuwatetea na wao wameshafukuzwa chadema no ccm sasa.

Na kama ujuavyo ukiisha ingia ccm DPP hana haja na kesi yako.
 
View attachment 1640662

Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
Siku naamini kibatala sio mweledi,anifunze Kwa magwiji akina Ringo Tenga na Lamwai
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
[emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji848][emoji848]
Hapana!! Kwa maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Zamani zetui ilkuwa ni lazima uwe na kadi ya ccm na cheti cha ubatizo ili upate huduma,mfano passport,ajira etc.so wengi tunazo mpaka Leo ingawa huwa hatuzilipii ada.
😂 habari za asubuhi mkuu
 
Back
Top Bottom