Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Huenda tukasikia Ndugai amemfutia Kibatala leseni ya uwakili! Siku hizi lolote linawezekana.View attachment 1640662
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya