Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

WEWE Erythrocyte, of all the people, leo umekuwa wa kuitetea mahakama ya kibongo? What's the world come to?
Sijatetea Mahakama bali nimefafanua , kwanza unatakiwa ufahamu kwamba Chadema inasimamia kesi zote zinazowakabili wanachama wake , sasa mtu anapoondoka ama kutimuliwa uanachama kimsingi hawezi kutetewa na Chadema tena .

Hili liliwahi kutokea kwa Mashinji na Wema Sepetu
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala...
Huwezi kujitoa kama kuna mgongano wa kimaslahi according to legal ethics uliyosoma?
 
Sijatetea Mahakama bali nimefafanua , kwanza unatakiwa ufahamu kwamba Chadema inasimamia kesi zote zinazowakabili wanachama wake , sasa mtu anapoondoka ama kutimuliwa uanachama kimsingi hawezi kutetewa na Chadema tena .

Hili liliwahi kutokea kwa Mashinji na Wema Sepetu

Sijui kwamba CHADEMA inafadhili utetezi wa kesi za wanachama.

Nitajuaje?

Headlines zenyewe tunazosoma ndio hizi zinasema KIBATALA kajitoa badala ya CHADEMA imejitoa ufadhili wa utetezi.

Kwa hiyo, habari ilivyokuja kama ilivyo tunaojua lega ethics tunaona suala hili limepinda, KIBATALA angetakiwa ahakikishe - hata kwa press statement - inasemwa CHADEMA wamejitoa.

Ili kulinda hadhi ya profession.
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
😁😂😄😄😄😁😂🤔🤔
Ni kweli kabisa ndugu ndugu zangu
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
😁😂😄😄😄😁😂🤔🤔
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu. Na mm lazima niwaambie ukweri tu.
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala...
Kwani sisiem hakuna mawakili wasomi?!

Mtu kajitoa iishie hapo hapo. Hafungwi kujitoa au uongo?
 
Back
Top Bottom