Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

View attachment 1640662

Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa CHADEMA Ndugu Halima Mdee na Ester Bulaya
Ajitoe asijitoe wenye gereza ndio wanajua kama watataka kesi au wasitake kesi hahaa anajisumbua wakili
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala.

Kama alikuwa anatetewa in lieau of their CHADEMA membership, na alipata matatizo akiwa kazini CHADEMA na anatetewa na wakili wa chama au anafadhiliwa gharama za uwakili na chama basi wangesema CHADEMA imeondoa ufadhili wake kwa watuhumiwa.

Ili kusudi Kibatala asimomonyoe hadhi na misingi ya uwakili kwa kuachia kazi mid stream.

Kuna somo la mwaka wa pili linaitwa legal ethics, linakataza mambo kama haya, lakini Tanzania hakuna anayeheshimu hadhi ya profession.
Wameshaunga mkono juhudi kesi hakuna, asipoteze muda kuna watanzania wengine wanamuhutaji.
Itafutwa tu kama walivyotolewa gerezani Nusrat Hanje
 
Ni professional misconduct of the highest order kama alikuwa wakili binafsi anayelipwa na kina Mdee, kwa sababu yanayotokea kwenye chama hayamhusu Kibatala.

Kama alikuwa anatetewa in lieau of their CHADEMA membership, na alipata matatizo akiwa kazini CHADEMA na anatetewa na wakili wa chama au anafadhiliwa gharama za uwakili na chama basi wangesema CHADEMA imeondoa ufadhili wake kwa watuhumiwa.

Ili kusudi Kibatala asimomonyoe hadhi na misingi ya uwakili kwa kuachia kazi mid stream.

Kuna somo la mwaka wa pili linaitwa legal ethics, linakataza mambo kama haya, lakini Tanzania hakuna anayeheshimu hadhi ya profession.
Usitafute amani wakati wa vita
 
Kale ka msemo ka "Never trust a woman" nakaona kama kana ukweli mkuu. Maana tulianza kuaminishwa kwamba mwanamke ni mgumu mno kushawishika iwe kwa hela au kwa maneno - akiwa na msimamo wake huwa hayumbi yumbi -- mmmhh nakubali sasa kwamba wahenga walikuwa werevu sana namna ya kudeal na hawa mama zetu... dont give them 100% utalia bila kupigwa.
Kumuamini mwanamke nikujitwika ndoo ya moto

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kupata heshima ni jambo jepec sana ila kazi ipo ktk kulinda heshima yako cku 1 nying
Wabongo hawajawahi kua na jema,kama vile mashabiki wa simba na yanga vile ukiwa simba watakusifu hata kwa sifa ambazo huna ukishatoka utaambiwa mara galasa,mara utopolo na vile.

Tujifunze kuongea kidogo jamani sidhani kama akina Mdee wanadhambi kiasi cha kudharauliwa hata na watu ambao hawajawahi kupiga kura.Tuheshimu watu pamoja na mapungufu yao.
 
Nimenote kitu; inshort hapa watoto wa ufipa wamejazana sana hapa jf🤔🤔 yani uzi wakishamba kama huu kisa anaye ongelewa ni hatar wao basi wanaushadadiaaa😂
 
Nimenote kitu; inshort hapa watoto wa ufipa wamejazana sana hapa jf🤔🤔 yani uzi wakishamba kama huu kisa anaye ongelewa ni hatar wao basi wanaushadadiaaa😂
ni hivi , CHADEMA imetapakaa nchi nzima , siyo hapa JF pekee
 
nchi nzima ni maeneo gani hapa tz?? Au lumumba ndio panaitwa nchi nzima nowdayz🤔🤔
Mkuu we ni msahaulifu sana.rejea ile kesi ya kina mbowe walipotiwa hatiani kifungo au faini.
Ile faini wanachadema walichanga sh mia,mia tano,buku.na ikapatikana ndani ya masaa ya muda Wa fine.
Usibeze kwamba chadema haina wafuasi.
Chadema inapendwa sana kuliko ccm,in vile utawala Wa sasa in Wa kikatili sana ukijionyesha Sana hadharani ni hatari.
 
Back
Top Bottom