Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Inaezekana huyo wakili kasoma kuliko mawakili wote.
Usishangae chama cha mawakili kikamtoa kwa sababu za uongo kama fatma karume
 
kwa uongo mwingine kama huu wasiliana na mtoa koment hii @ erthrocyte.comπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zamani zetui ilkuwa ni lazima uwe na kadi ya ccm na cheti cha ubatizo ili upate huduma,mfano passport,ajira etc.so wengi tunazo mpaka Leo ingawa huwa hatuzilipii ada.
 
Hahaha usichoelewa nini, kibatala wakili wa chadema analipwa na chadema kwenye hiyo kesi, Halima Mdee na wenzake kama anavyojitambulisha mwenyewe wameshafukuzwa uanachama wa chadema sasa kwanini Kibatala aendelee kuwatetea na wao wameshafukuzwa chadema no ccm sasa.

Na kama ujuavyo ukiisha ingia ccm DPP hana haja na kesi yako.
 
Siku naamini kibatala sio mweledi,anifunze Kwa magwiji akina Ringo Tenga na Lamwai
 
Halima Na Wenzake Ni Wa Kijani
Mpaka Sasa Hivi Hakuna Gumu Lolote Mbele Yao
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!
[emoji16][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji848][emoji848]
Hapana!! Kwa maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Zamani zetui ilkuwa ni lazima uwe na kadi ya ccm na cheti cha ubatizo ili upate huduma,mfano passport,ajira etc.so wengi tunazo mpaka Leo ingawa huwa hatuzilipii ada.
πŸ˜‚ habari za asubuhi mkuu
 
Kibatala ana akili sana.
Mwaka huu atakoma, endapo chadema watagomea ruzuku sijui atalipwa na nani kwenye vikesi vya wanachama.
Kibatara amekuwa mnufaika wa ruzuku ya chadema kama wakili wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…