Nini kimetokea, tunaomba sourceJamaaa akili hana ata kidogo, kwanza yule ni sawa na mzee wake wa kumzaa
Alitakiwa awe amesha resign kwanza
Ukisema kuheshimiwa unapunguza ukubwa wa neno. Jerry anataka kuabudiwa. Ndo màana unamsikia RAS anasema usimjibu hivyo Waziri!Unanijibu mimi hivyo??
Hiyo statement ilikua inapita akilini mwake bwana Jerry.
Binadamu wanapenda sana kuheshimiwa.
Hasa waafrika wenye madaraka au pesa.
Cc johnthebaptistVijana wa taifa wangepaza sauti ili waziri atolewe kwenye kiti kwa kutumia madaraka yake vibaya!
Lakini tunabakia kutoa macho na kusema kwao morogoro, yule sawa na mzee wake wa kumzaa nk
CCM bado sana, itaendelea kuwepo
Ndio maana jamii zetu zimezaa machawa baada ya hitaji kubwa la kuabudiwa.Ukisema kuheshimiwa unapunguza ukubwa wa neno. Jerry anataka kuabudiwa. Ndo màana unamsikia RAS anasema usimjibu hivyo Waziri!