Peter Kibatala alibeba kisheria suala la mwananchi aliyeamuliwa kuwekwa ndani na Waziri Jerry Silaa huko Morogoro

Peter Kibatala alibeba kisheria suala la mwananchi aliyeamuliwa kuwekwa ndani na Waziri Jerry Silaa huko Morogoro

Jerry Silaa ni mwanasheria? Alisomea wapi? Na alifaulu kabisa? Sijawahi kuona msomi wa sheria anamihemko kama ya mpiga debe anaponyimwa mia mbili na kondakta.

Msomi wa sheria anakosa uwezo wa kusikiliza? Labda kama alisoma hizo sheria akiwa tayari na mamlaka ndio nitaelewa tatizo lilipo.

Wasomi wa sheria waliosoma na kufaulu vizuri ninaowajua ni watu wenye uwezo mzuri wa kusikiliza kwa utulivu na kisha kufanya maamuzi.
Screenshot_20240715-081803.png

Screenshot_20240715-081823.png
 
Vijana wa taifa wangepaza sauti ili waziri atolewe kwenye kiti kwa kutumia madaraka yake vibaya!

Lakini tunabakia kutoa macho na kusema kwao morogoro, yule sawa na mzee wake wa kumzaa nk

CCM bado sana, itaendelea kuwepo
Mzee anajaribu kujieleza pengine changamoto ni sauti yake kali inamfanya aonekane mbishi mbele ya mkuu wake na aingie kwenye insurbodination default....the adm law.
 
Kwani akisoma open university ndiyo anakuwa hivyo? Ni matumizi mabaya madaraka tu.
Tuna tatizo kubwa sana kama taifa. Jerry could and can do better. Nachukia sana viongozi wanaopenda kuabudiwa. Humility ni somo gumu sana kwa hawa viongozi wetu.
 
Tuna tatizo kubwa sana kama taifa. Jerry could and can do better. Nachukia sana viongozi wanaopenda kuabudiwa. Humility ni somo gumu sana kwa hawa viongozi wetu.
As far as I'm concerned, kuwa mwanasiasa siyo kuwa mkatili au mkandamizaji wa raia in as much as I believe kuwa bodaboda haina maana ya kuwa mhuni. Yet, hawa watu wanatupa picha kwamba ukiwa mwanasiasa ina maana wewe ni dubious. Na kwamba ukiwa bodaboda ni lazima uwe mhuni au potentially mhuni.
 
Mungu mbariki Peter Kibatala aendelee kusaidia wanyonge
Hv wanasheria wa SERIKALI Huwa nao wanajua Sheria? Maana huwa wako tayari kupindisha ili kuwafurahisha waliowaweka mwisho wa siku chali! Kesi nyingi tu wanashindwa kazi yao n nini hasa. Au kuliiingizia taifa hasara tu ya mishahara kwa kodi yetu!
 
Unanijibu mimi hivyo??

Hiyo statement ilikua inapita akilini mwake bwana Jerry.

Binadamu wanapenda sana kuheshimiwa.

Hasa waafrika wenye madaraka au pesa.
Tabia ya kimagufuli. Tabia ya kishenzi tuu. Nakumbuka naye alishamuambia hivyo mkurugenzi mmoja wa Mkoa na nadhani akatumbua
 
Na kale kengine kanaropokwa eti "usimjibu waziri hivyo" utadhani yule mzee alitukana au aliongea kwa maudhi au dharau kuna siku watakutana na watu akili zimeenda likizo watakosa pa kutokea
Mambo ya ajabu sana, na watu wa aina ya huyo mama anayemuambia hivyo huyo mwananchi ndio sehemu kubwa ya watumishi wa umma, yani kuwa karibu tu na waziri wanachanganyikiwa na kuhaha.
 
Mr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.

Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?

My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when power is lent to them on a temporary basis?

Na the OCD carries out such an illegal "order': na hapo huyo OCD utaambiwa "kasoma Sheria".

Waziri tangu lini na kwa sheria ipi ana mamlaka ya kuamuru a Policeman amu-arrest mtu, tena by "mchukue huyu"!?!.

The rest we will organize.

Kwa hili namsapoti Kibatala kabisa!!!!!!
 
Jerry ni kweli amekosea ila watu wengine wanapenda kutembea na upepo kama kina wema sepetu
 
Jerry ni kweli amekosea ila watu wengine wanapenda kutembea na upepo kama kina wema sepetu
Suala si upepo ni kupinga uonevu kwa nguvu zote..
Siku yakikupata utajua
 
Suala si upepo ni kupinga uonevu kwa nguvu zote..
Siku yakikupata utajua
Hapana ni kweli jerry amekosea lakini siyo kila mtu akikosea basi ndio kuanza kuweka vitisho na majigambo na kumdhihaki eti junior lawyer, kwani yeye peke yake aliyeona kama jerry kakosea but kuna better approach , apunguze sifa na dharau
 
Hakuna dharau yeyote mtu akikosea lazima aonyeshwe kiwango cha ujinga wake.
 
Hakuna dharau yeyote mtu akikosea lazima aonyeshwe kiwango cha ujinga wake.
It doesnt work that way tutakuwa tunajenga taifa la chuki, visasi na lililokosa staha ambayo ndio sifa kubwa ya mtu aliye elimika na kustaarabika, huyu jamaa yenu amekosa tu ustaarabu
 
Back
Top Bottom