Subutu kweni OCD hasomi PGO?Maybe alimuweka ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subutu kweni OCD hasomi PGO?Maybe alimuweka ndani
Sasa na wewe umeonyesha jinsi ulivyo mjinga,,,kwahiyo kule wana mitaala tofauti?Hapo kwenye bold kasoma sheria open university
Very true one of the best performers so far ameokoa haki za watu wengi sana na amehimili mikiki mingi sana kutoka kwa wezi wa ardhi ambao ni matajiriNilichokiona hapa waziri, ameshindwa kumili hisia zake,yaan waziri aliweka kichwani kwake kwamba yeye ni waziri hivyo alipaswa kuheshimiwa hata pale alipokosea
Lakini hii haimuondelei weledi wake katika kazi,,ni mchapa kazi mzuri ila ajifunze kuhimili hisia zake
Nakubaliana na wewe kabisa,bahati mbaya watu wengi hawalioni hili,kwao kosa moja ni kukuona haufaiVery true one of the best performers so far ameokoa haki za watu wengi sana na amehimili mikiki mingi sana kutoka kwa wezi wa ardhi ambao ni matajiri
Sindiyo haya maonyesho yakeAmewahi kuendesha hata kesi moja, natamani kujua. Na huu uwakili ameupata akiwa tayari ana cheo na pesa?
Kwa Tanzania yetu na mfumo wetu wa elimu, watu waliosoma baada ya kuwa na vyeo au pesa, elimu zao ni za kuwa nazo makini kidogo.
Unampeleka mtu police, Hana jalada la RB au enquiry na wala hujamkamata on spot alifanya uhalifu sijui unamuwekaje mahabusi, akikufia as OCD sijui unajibu nini?Mr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.
Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?
My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when power is lent to them on a temporary basis?
Na the OCD carries out such an illegal "order': na hapo huyo OCD utaambiwa "kasoma Sheria".
Waziri tangu lini na kwa sheria ipi ana mamlaka ya kuamuru a Policeman amu-arrest mtu, tena by "mchukue huyu"!?!.
The rest we will organize.
Kwahiyo chuo kizima wanafanyiwa mitihani?Wewe husikii habri zao za kufanyowa mitihani?
Tatizo bado ni elimu, siyo kila wakili ni anaendesha case, na kama ulikuwa hujui kesi hasa za jinai hazina hela ila unapata umaarufuAmewahi kuendesha hata kesi moja, natamani kujua. Na huu uwakili ameupata akiwa tayari ana cheo na pesa?
Kwa Tanzania yetu na mfumo wetu wa elimu, watu waliosoma baada ya kuwa na vyeo au pesa, elimu zao ni za kuwa nazo makini kidogo.
Hata hapa inawezekana kabisa kwa kutofwata sheria kwa viongozi kama hivyoKenya hili haliwezi kutokea kamwe,
Sisi wengine tunayaangalia mambo objectively,,hatuyaangali mambo kwa hisia au kwa mkumboSorry utakuwa muhitamu mahala hapo naona kama imeugusa sana.
SureTatizo bado ni elimu, siyo kila wakili ni anaendesha case, na kama ulikuwa hujui kesi hasa za jinai hazina hela ila unapata umaarufu
Mawakili wengi wenye hela ni wale corporate lawyers hawaendagi mahakamani na wanadeal na mikataba hiyo kama ya dp world etc huko ndio hela ilipo , siyo kila wakili anaendesha case