Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Na wanahabari walitakiwa kufuatilia kujua wanaenda naye na kwa kosa gani?Sasa OCD amemchukua kwenda naye wapi na kwa kosa lipi hapo?CCM bwana,muhusika wa jambo anaongea...unataka aongee unavyofikiri wewe kisa ni waziri....?Yale yale ya Mfalme Zumaridi ya Polisi CCM kumfungulia mashita ya kusafirisha eti watu kiharamu,ilihali watu wanakwenda Kanisani kwake kwahiari..na wanaonekana kwq macho.Akawashinda kesi kwa aibu ya kushindwa hata mwendesha mashitaka wa Polisi kujibu maswali kizimbani.
Jerry Slaa nilikuwa nimeanza kumkubali wakati anashughulukia ardhi iliyoporwa kutoka kwa wanyonge lakini sasa naona ameanza kulewa madaraka. Ulevi wa madaraka utamtapisha asipokuwa makiniMr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.
Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?
My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when power is lent to them on a temporary basis?
Na the OCD carries out such an illegal "order': na hapo huyo OCD utaambiwa "kasoma Sheria".
Waziri tangu lini na kwa sheria ipi ana mamlaka ya kuamuru a Policeman amu-arrest mtu, tena by "mchukue huyu"!?!.
The rest we will organize.
Thubutu...hakuna wanahabari siku hizi jombaaa.. .wanawinda teuzi za U_ DC ni kama Paskal Mayala wa JF tuNa wanahabari walitakiwa kufuatilia kujua wanaenda naye na kwa kosa gani?
Nchi ina viongozi wapumbavu kama hawaMr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.
Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?
My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when power is lent to them on a temporary basis?
Na the OCD carries out such an illegal "order': na hapo huyo OCD utaambiwa "kasoma Sheria".
Waziri tangu lini na kwa sheria ipi ana mamlaka ya kuamuru a Policeman amu-arrest mtu, tena by "mchukue huyu"!?!.
The rest we will organize.
Hawa watu ni wajinga snJerry Slaa nilikuwa nimeanza kumkubali wakati anashughulukia ardhi iliyoporwa kutoka kwa wanyonge lakini sasa naona ameanza kulewa madaraka. Ulevi wa madaraka utamtapisha asipokuwa makini
Sahivi waandishi muda wote wanawaza posho pekeeThubutu...hakuna wanahabari siku hizi jombaaa.. .wanawinda teuzi za U_ DC ni kama Paskal Mayala wa JF tu
Mfumo umeharibiwa haswaNdio maana jamii zetu zimezaa machawa baada ya hitaji kubwa la kuabudiwa.
Jamaa hii kazi anaiweza haswaMungu mbariki Peter Kibatala aendelee kusaidia wanyonge
Amesaidia mpaka watu wa kwenu IringaKibatala kwao Morogoro
Anataka kuabudiwa, tuna viongozi wapumbavu snUkisema kuheshimiwa unapunguza ukubwa wa neno. Jerry anataka kuabudiwa. Ndo màana unamsikia RAS anasema usimjibu hivyo Waziri!
Jamii inatakiwa ishughulike nao hawa wapumbavuJamaaa akili hana ata kidogo, kwanza yule ni sawa na mzee wake wa kumzaa
Alitakiwa awe amesha resign kwanza
Mfumo umeoza kuanzia juu mpk chiniVijana wa taifa wangepaza sauti ili waziri atolewe kwenye kiti kwa kutumia madaraka yake vibaya!
Lakini tunabakia kutoa macho na kusema kwao morogoro, yule sawa na mzee wake wa kumzaa nk
CCM bado sana, itaendelea kuwepo
Ni ujinga haswa ndiyo maana tunataka katiba mpyaUnanijibu mimi hivyo??
Hiyo statement ilikua inapita akilini mwake bwana Jerry.
Binadamu wanapenda sana kuheshimiwa.
Hasa waafrika wenye madaraka au pesa.
Kilaza mbobevuTone ya jamaa haijaonesha respect kwa waziri..
Haya mambo ni rahisi sana kuongea mitandaoni. Lkn jaribu kuwaza kitu kimoja - wewe kama mwananchi ni kitu gani unaisaidia Serikali ili utawala wa sheria ufuatwe?Utawala wa Sheria ufuatwe,na wanasiasa au watendaji wa Serikali.Cheo ni dhamana
Tunaendelea kusisitiza tujenge utamaduni wa kujitolea free kwa ajili ya Taifa letu wenyewe.Vijana wa taifa wangepaza sauti ili waziri atolewe kwenye kiti kwa kutumia madaraka yake vibaya!
Lakini tunabakia kutoa macho na kusema kwao morogoro, yule sawa na mzee wake wa kumzaa nk
CCM bado sana, itaendelea kuwepo
Wanahabari wamegeuka kuwa machawa. Jaji Warioba aliwaambia waache uchawa, wanaumiza wananchi.Thubutu...hakuna wanahabari siku hizi jombaaa.. .wanawinda teuzi za U_ DC ni kama Paskal Mayala wa JF tu