Peter Kibatala alivyokataliwa TLS


u were deserve to be a bUSh lawyer. May Lord for bid....!!!! Sikuwahi hata kuwaza kama na watu wanaojiita "wasomi" wanaweza kuwa na wivu "kike" kiasi hiki.
 


Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-

(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;

(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;

(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;

(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.


USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.
 


The demise of learnedness!!!!!!
 
for sure!! ameitia aibu taaluma.
 
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.
 
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.

Khaaa!! Hapana, hutakiwi kumheshimu wakili/mwanasheria mwenzio ukiwa mahakamani tu.

Muda wowote na mahali popote ni wajibu wako kuheshimiana kwa dhati.


Msomi, soma Jina la Kibatala, lkn kwanini wewe uandike "kubataliwa"?

Anyways, do what you like....and...suits you as well.
 
Kumbe kubataliwa ndiyo imekuwa issue. Basi sorry counsel
 
Kushindwa pia ni sehemu ya matokeo ambayo lazima yatokee kwenye uchaguzi wowote. Hapo aibu inatoka wapi?
 
Kumbe kubataliwa ndiyo imekuwa issue. Basi sorry counsel

Wakili, unajua haipendezi kubishana unreasonably, tena kwny majukwaa ya mitandao ya kijamii,,.!!

Similarly, wewe kwa uwezo wako wote umeona neno moja tu, as you allege, ndilo unadhani ni msingi wa michango yangu ktk mada yako and, if that is the case, you cant be serious?

Get grown up and act according to your legal profession, pls..!!
 
huyu si mwanasheria bali ni mbeya na mdaku Fulani tu hana jipya
 
Wewe nawe! Unataka kufananisha majina na lugha tunazotumia mahakamani na JF. Halafu unaongelea demokrasia, hujui kuwa nami nimetumia demokrasia kuwasilisha thread yangu hivi.

Hicho cheo kinafaida gani kwa wanasheria wasomi?
 
Mkikutanaga wenyewe aaaanh huwa burudani sana! !!!!!!!

Mwisho mtuambie tu kuwa kweli nyie ni "learned" kwa maana yoyote ile au ni just "social constructionism" kama ilivyo kwa "profesa" wa mazingaombwe!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…