denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
u were deserve to be a bUSh lawyer. May Lord for bid....!!!! Sikuwahi hata kuwaza kama na watu wanaojiita "wasomi" wanaweza kuwa na wivu "kike" kiasi hiki.