Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Mwerevu akivuliwa nguo huchutama. Uzi wako umekosolewa na kukuvua nguo hasa kwa kuingiza itikadi za siasa kwenye masuala yenu ya chama cha kisheria. Ungekuwa muungwana usingejibiahana tena. Unaendelea kujionesha jinsi ulivyo mweupe.

Mweupe km wewe nawe ulivyoingia mkenge kuchangia ktk thread hii
 
Kibatara na lissu wanajiona wanajua sana wanaendeshwa na siasa ndio mana hata siku ya kesi ya zito waliomba waongee kiswahili ili kufurahisha watu walioko mahakamani badala ya kutoa hoja za msingi wao wanabaki kuwafurahisha watu wa chadema na wakiendelea hivyo watapotewa na wateja zao,kibatara haiingii hata nusu kwa msando msando ni zaidi hata ukiwachanganya lissu na kibatara
 
Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-

(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;

(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;

(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;

(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.

USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.

Achana na huyu kilaza wa sheria hana jipya
 
Client wako Bogaz kama wewe hata hao clients unawapata naamini hunauwezo wa kuwasadiana si lazima uandike kiwanasheria lakini mwanasheria najua ni mtu anaweza kufafanua hoja na kubusara katika maneneno na maandishi yake kunauwezekano mkubwa sana uanasheria wako umeupta kwanjia ya PICHU.
Yes ulinipa ww baada ya kukuvua PICHU
 
Mweupe km wewe nawe ulivyoingia mkenge kuchangia ktk thread hii

Hii haikusaidii, ushajiaibisha that's fullstop. Halafu unatiija mwanasheria! Mwanasheria gani usiyejua hata kupambanua jambo dogo hivi? Nyie ndo msiojiamini na kuendeshwa na wanasiasa na kuiharibu judiciary nzima. Sina mda wa kujibishana zaidi na kiazi kama wewe. Taifa linashindwa kwenda mbele kwa ajili ya vilaza kama wewe, mxiiiuuuuuu...pytuuuuuuu!!
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
HESHIMA KUU mwanasheria!!!!!!
Umechanganya mambo na tunaojua kusoma between the lines tumekuelewa,
  1. Kibatala kashindwa katika nafasi ya umakamu mwenyekiti-Very fine
  2. Kibatala kaponzwa na kauli zake -Very fine
  3. Kibatala na Kesi ya Zitto-Wapi na wapi katika uchaguzi wenu?
  4. Kibatala kushindwa na Msando-Imetokea wapi?
Always ukiandika jambo ukiwa unaongozwa na ghadhagu au grudges utaweka hata ambao hayahusiki.
Kila la kheri Mwanasheria ingawa hukutueleza wewe uligombea cheo gani na ulipata kura ngapi.
 
Hii haikusaidii, ushajiaibisha that's fullstop. Halafu unatiija mwanasheria! Mwanasheria gani usiyejua hata kupambanua jambo dogo hivi? Nyie ndo msiojiamini na kuendeshwa na wanasiasa na kuiharibu judiciary nzima. Sina mda wa kujibishana zaidi na kiazi kama wewe. Taifa linashindwa kwenda mbele kwa ajili ya vilaza kama wewe, mxiiiuuuuuu...pytuuuuuuu!!
Kwa thread yangu JF niite tu mie kilaza mara milioni moja ipo poa tu. Mahakamani utabow down tu!
 
Mkuu Avanti,

Kuweka mambo sawa basi Ndugu Kibatala kapata kura zote! Na ataendelea kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka 3.

Sasa mmefurahi?
 
Thanks, umenisaidia sana. Hebu na iwe hivyo kweli.
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
Obama ni mwanasheria
Mrs. Clinton ni mwanasheria
do research kabla ya kubwabwaja
 
Kwa thread yangu JF niite tu mie kilaza mara milioni moja ipo poa tu. Mahakamani utabow down tu!

UKIKUTANA NA MWANASHERIA HAJUI KUBISHA,JUA ANAWALAKINI KATIKA TAALUMA YAKE.

sasa hapa mwanasheria Kilaza umepotoka vibaya.

Ulichoandika hapa ni Mashudu taka usitake.
 
Msomi Avanti,

Kusema kweli umemkosea Peter Kibatala, binafsi, TLS na the whole legal fratenity. Kwa hiyo ulikuwa unataka kuonyesha kuwa Msando na Kibatala, basi Msando ni juu? Kwa kutumia tu Metrics ya ile ruling ya Injuction iliyotolewa na Utamwa, J?

Kwa kukufahamisha tu ni kwamba, mafanikio binafsi ya maisha, ya kikazi na kijamii ya Peter viz Alberto, ni kama mbingu na nchi.

Uisevu hii post/comment yangu come mwishoni mwa Oktoba 2015, tuje tutaje majina mawili hapa katika Jukwaa hili hili la siasa : Peter Kibatala na Albert Msando.

"Dont Hate The Player; Hate The Game"
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe

Pinda ni mwanasheria
Sitta, Migiro na Chikawe nao ni wanasheria, Riz1 tuuu
 
UKIKUTANA NA MWANASHERIA HAJUI KUBISHA,JUA ANAWALAKINI KATIKA TAALUMA YAKE.

sasa hapa mwanasheria Kilaza umepotoka vibaya.

Ulichoandika hapa ni Mashudu taka usitake.

Mashudu yamekuuuuma!
 
Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-

(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;

(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;

(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;

(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.

USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.

Taaluma imevamiwa,Nyani Ngabu anawapatia sana hawa kunguni.
 
Back
Top Bottom