Duuh!! Wakili msomi, kwa haraka na kwa namna ulivyoandika ujumbe huu, basi hitimisho litakuwa ni kati ya haya yafuatayo;-
(1) Mwanasiasa, likely CCM member, mwenye chuki zisizokuwa na tija;
(2) Unayo chuki binafsi dhidi ya Kibatala, Advocate, see the way ulivyom-address....very unproffessional and unwise....by ridiculing his name na tendo lililofanyika, very unfair for your fellow lawyer;
(3) Umekosa staha, busara, n.k, dhidi ya Wakili mwenzako;
(4) Hujui maana ya demokrasia, kwani wapiga kura ndio hufanya uchaguzi wa mtu/watu ambao wanaotaka wawe wawakilishi wao.
USHAURI: Kabla ya kuandika jambo, basi tafakari kwanza mapokea ya umma....and remember always kuwa learned brothers & sisters are expected to respect and treat each other with honest, candour and courtesy.