Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

Peter Kibatala alivyokataliwa TLS

naona wazimu umekupanda hujielewi!!!

selective blindness buddy...

huwezi ku-like such a sentence hasa ukiwa kwenye status ya Dr. unless tumeamua ku-lower our standards za viongozi tunaowataka

You should know kwamba viongozi ni kioo cha jamii.... ONCE A PUBLIC FIGURE, ONE SHOULD EXPCT MORE SCRUTINY

BTW, kuhuzu wazimu, inawezekana kabisa unao wa kurithi na "kalaana kake pia" ulianza kupanda kwa bibi na babu yako, na hukuwahi kujielewa
 
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
Kama na wewe ni mwanasheria, basi nchi hii imekwisha.

Mambo uliyoandika hapa ni typical Div V, tena ya shule za kata.
 
Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....
Acha ukorofi bhana ujue tutanyimwa dhamana ooonhoooo!!!!!!!
"wasomi" kwa kweli wanatakiwa kukubali kuwa hiyo ni achievement sio tu sababu mtu ka pursue hiyo kozi na pass degree au hata upper au first class inatakiwa pawepo reflection ya huo usomi!!!!!!!
 
Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....

Eeeh!! Mkuu, hebu urudie kusoma hicho Kiingereza tena and, kindly, you better read it between lines...!!

Baada ya kumaliza kusoma.....naomba uniandikie or instruct me candidly...ili nijue kuwa next time naandika correctly.

Nipo hapa kwaajili ya kujifunza pia, pls.
 
Back
Top Bottom