my voice
Member
- Dec 27, 2013
- 60
- 23
mbona hueleweki kwenye mada umesema alizidiwa kura 800 hapa unasema 700.upi ni ukweli hapoAlibebwa na nani kwa tofauti ya kura zaidi ya 700?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hueleweki kwenye mada umesema alizidiwa kura 800 hapa unasema 700.upi ni ukweli hapoAlibebwa na nani kwa tofauti ya kura zaidi ya 700?
naona wazimu umekupanda hujielewi!!!
Tanzania ilikuwa inaheshimika kwa kutoa wanasheria mahiri pale UDSM lkn baada ya ujio wa vyuo vyetu hivi vya kata basi sheria imeingiliwa!!
Kama na wewe ni mwanasheria, basi nchi hii imekwisha.Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani aliishika kwa miaka mitatu mfululizo. Kibatala alijiponza mwenyewe kwani alianza kujinadi kwa kudai eti kuna wenzetu walimbembeleza agombee Urais na yeye akakataa kwa kujiona bado immature (wajumbe tukaguna). Hii ilionesha ana uroho wa madaraka km Zitto Kabwe (inashangaza anampinga mahakamani). Then aliendelea kubwabwaja maneno mengi ambayo yalimfanya ajipambanue kuwa nafasi aliyokuwa kaishika hakuwa na mafanikio sana kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kisiaasa ktk chama chake cha CDM. Kura zilipopigwa tukampa mwanadada Flavian na akamzidi Kibala kwa zaidi ya kura 800. Kibatala hakuamini macho yake na alitoweka moja kwa moja ukumbini. Hivi ninavyoandika nipo KIA narudi Dar na jina lake linaitwa hapa airport ili apande ndege lakini hapatikani kuonesha kuwa amepata aibu sana na hataki kurudi Dar na sisi kwani tunaweza tukawa tunamsodoa kimoyomoyo mpaka tutapotua Dar.
My take: ukiamua kuwa mwanasiasa kuwa mwanasiasa kweli, ukiamua kuwa mwanasheria basi tumikia sheria kwani hapa inasubiriwa tu Kibatala apate pigo jingine atakapogaragazwa na Msando ktk kesi ya msingi ya Zitto Kabwe
Acha ukorofi bhana ujue tutanyimwa dhamana ooonhoooo!!!!!!!Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....
First, what parts of speech are 'get' and 'grown up'?
Tuanzie hapo kwanza.
Eti huyu nayw ni mwanasheria!! my ass¿¥£$
Ndio maana nimemshauri aongee Kiswahili maana kuendelea kuongea Kiingereza ambacho inaonekana dhahiri hakijui huku akiitwa 'msomi' anakuwa anaudhalilisha huo 'usomi'....
Ameandika kike mpaka nimecheka eti"tukawa tunamzodoa kimoyomoyo mpaka tunafika dar".Umbeya huu , wewe ni jinsi ke!