Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

Bado sijaoa mrembo. Vipi nilete mahari kwenu? Njoo PM basi.
 
Mbona nao yanayolalamikiwa huku hata kwao ni yale yale,Rushwa,uonevu,ukoloni mambo leo.
Malalamiko huwa hayaishi ktk maisha ya binadamu hapa duniani. Lakini kumbuka ktk nchi za bara hili la Afrika, South Africa ndio nchi inayoongoza kwa uhalifu, sambamba na kuongoza ktk kuwawqjibisha Askari Polisi ktk kuwashitaki Mahakamani na/au kuwafukuza kazi.Afrika ya Kusini Askari Polisi wanaolalamikiwa, Wahalifu au waovu wanafukuzwa kazi na kufungwa jela kwa wingi Sana.
 
Inatia aibu police wanamwogopa katibu ccm mkoa 🤔🤔🤔🤔wameshidwa hata kumpa onyo na kunwambia arekebishe kauli yake
 
Mkuu una kura yangu kwako kuwa Rais wangu,welldone mkuu yaani umeeleza kwa ufasaha kuhusu ukweli,hukuongea politics kabisa
 
Tanzania hii!!!Tutajie polisi mwenye PhD .

Hata hao MASTER Degree ni asilimia 1% ya polisi wote .Asilimia kubwa wa polisi ni vilaza haswa
 
Ni kibarua Tu kwenye hiyo kampuni
 
Kwenye bold fanyia kazi hiyo lugha
 
Polisi wetu, nadhani wanaamini kuwa polisi hakuhitaji kutumia akili ili maguvu tu. Ndiyo maana tuna matendo mengi ya hovyo yanayofanywa na jeshi la polisi.
Tafsiri ya kutumia akili ni ipi? Nguvu hutumika baada ya akili
 
Baada ya kustaafu tu , Omary Mahita alikamatwa kwa kumjaza mimba House girl wake mwenyewe na kukataa matunzo ya mtoto , akaburuzwa Mahakamani kwa aibu sana ! akajipendekeza kujenga msikiti Morogoro Waislam wameususa , wala hakuna anayeuswalia , wanatagia tu popo na kunguru
 
Mbona umepaniki CHAWA wewe!!
Bila shaka wewe ni miongoni Kwa zero brain police ,Division IV dot.com
Kibatara mmoja akili yake ni sawa na Polisi wa Tanzania 10000
 
Tungekuwa tuna IGP anaejielwa angetosha kuwa anasimamia hili. Sema nao sijui huwa wanadhani ni maagizo kutoka juu, wanaogopa kutumbuliwa.

Hapa alikuwa anapiga simu ya upepo kuwaambie waache ujinga wafanye kazi za maana jambo linaisha.
Uhai na maslahi ya IGP uko mikononi mwa aliyemteua 100% ni ngumu sana kuwa Huru hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…