Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

Yaani details za alioufanyia huo mwili zinatisha kuzisoma. Kumchuna binadamu mwenzio baada ya kumuua ngozi ya kichwa!? 😩😩😩😩 ilibidii ahukumiwe kunyongwa hadi AFE.

Yaan huo ukatili wa hali ya juu...

Such an interesting story japo inahuzumisha
 
Pale Kijijini usambaani Vuga, Lushoto, Tanga! Hapo imeandikwa kuwa Kupaza alikua anauwezo wa kuchinja Kuku, ila kwa kule kijijini Vuga Lushoto Tanga, iliaminika kuwa Kupaza hakuwahi kuchinja hata kuku.

Na hii story pia kulikua na pahala kwamba Baada ya kumchukua muivano kutoka Vuga Lushoto na kwenda nae huko, wali-divorce na huyo demu wa kizungu na huyu mzungu aliamini kuwa Kupaza alikua na mahusiano na ndugu yake, kwahio ilikua kama revenge.

Kwahio kuna sintofahamu nyingi na ndio maana Kupaza alikuja kukata rufaa.

Lakini ndio hivyo
Kwa jinsi nilivyosoma maelezo ya hii habari kutoka kwa mtoa mada hapo juu, maelezo ya peter kushindwa kuchinja hata kuku yanakuwa hayana nguvu kutokana na ushahidi mwingi kumkuta yeye.

Inawezekana yule mama alimtengenezea tukio, lakini peter ndo adanganye dadaake alisharudi tanzania? Atampaje nauli dadaake wakati hata fedha ya mambo ya talaka hakuwa nayo? Pesa ya kukodi gari binafsi? Kazi ya kueleweka kumuingizia kipato cha kutosha hakuwa nayo.

Ni ngumu sana kumtoa peter kwenye hili sakata.
 
Yaani details za alioufanyia huo mwili zinatisha kuzisoma. Kumchuna binadamu mwenzio baada ya kumuua ngozi ya kichwa!? 😩😩😩😩 ilibidii ahukumiwe kunyongwa hadi AFE.
Kabisa asitoke maana sio binadamu wa kawaida huyo mmh
 
Kwa jinsi nilivyosoma maelezo ya hii habari kutoka kwa mtoa mada hapo juu, maelezo ya peter kushindwa kuchinja hata kuku yanakuwa hayana nguvu kutokana na ushahidi mwingi kumkuta yeye.

Inawezekana yule mama alimtengenezea tukio, lakini peter ndo adanganye dadaake alisharudi tanzania? Atampaje nauli dadaake wakati hata fedha ya mambo ya talaka hakuwa nayo? Pesa ya kukodi gari binafsi? Kazi ya kueleweka kumuingizia kipato cha kutosha hakuwa nayo.

Ni ngumu sana kumtoa peter kwenye hili sakata.
Ni assumptions tu kuna theories kadhaa
 
Pale Kijijini usambaani Vuga, Lushoto, Tanga! Hapo imeandikwa kuwa Kupaza alikua anauwezo wa kuchinja Kuku, ila kwa kule kijijini Vuga Lushoto Tanga, iliaminika kuwa Kupaza hakuwahi kuchinja hata kuku.

Na hii story pia kulikua na pahala kwamba Baada ya kumchukua muivano kutoka Vuga Lushoto na kwenda nae huko, wali-divorce na huyo demu wa kizungu na huyu mzungu aliamini kuwa Kupaza alikua na mahusiano na ndugu yake, kwahio ilikua kama revenge.

Kwahio kuna sintofahamu nyingi na ndio maana Kupaza alikuja kukata rufaa.

Lakini ndio hivyo
Ila wamama wa kimarekani hii michezo wanaijua sana[emoji848][emoji848]

Cousin wangu last month kakutwa kafa na bastola pembeni wakasema kajiua na alikuwa na ugomvi na mkewe
 
Maana wanawake wa kizungu hasa Marekani akikupenda akakupeleka kwao alafu ukifika kule ulete ujanja wanakua na roho mbaya sana
Ndio mkuu...

Huyo mama mi nakwambia ndo mhusika mkuu, maana kesi aliishadadadia kuhakikisha jamaa hachomoki!

Mpaka kawaleta wazazi wa mwivano, hiyo plot kacheza huyo mama, yaan mambo yote yamesetiwa[emoji849][emoji848]
 
Ila wamama wa kimarekani hii michezo wanaijua sana[emoji848][emoji848]

Cousin wangu last month kakutwa kafa na bastola pembeni wakasema kajiua na alikuwa na ugomvi na mkewe
Nyie!wazungu sio wa mchezo,wanajua kupiga tukio na kufunika ushahidi!nikiangaliaga kipindi cha perfect murder ndo naelewaga kuwa wazungu kwenye hili sio wenzetu kabisa
 
Back
Top Bottom