Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

Miaka ya 90 kuna mtanzania akiitwa KWA jina la gwivaha mkazi wa MOROGORO Junior seminary alisemekana kumpa mimba dada yake kisha ili kuficha aibu akamuua na mabaki yake akayaweka kwenye plastic bag na kuyatupa mtoni. Naomba ile link uzi uko humu.
 
Aliitwa Peter Kupaza na Mwivano kupaza. Walikuwa ndugu, mtoto wa, baba, mkubwa, na mdogo. Search Peter Kupaza, If kwenye google.
 
Back
Top Bottom