feisar wa moro
JF-Expert Member
- Mar 17, 2020
- 371
- 865
CCM ikishachkua ushindi October tunawakusanya chadema wote kisha tunaanza kuwapiga nyungu mmoja mmoja.Ccm kwisha habar habar yake,inategemea TISS,Jeshi la Polisi (policcm),tume mbovu ya uchaguzi na mahakama...ccm mwisho October
Kama alipewa ridhaa haya malalamiko yatoke wapi? Jiulize kabla ya kuuliza.Na je Kama chama kilimpa ridhaa ya yeye kuzichukua Kuna kosa
Hivi unafahamu Auditor anachohitaji akiwa anafanya auditing?Chadema Mara zote hizo imekua ikipewa hati Safi, kwa utouh, Assad na wa sahivi hawakuona hizo quarrel acha upotoshaji, Kama wasingeziona hizo resit lazima kwenye report wangeandika
Chadema kapewa hati Safi miaka yote hiyo unataka useme Nini, na CAG anamamlaka kikatiba, kwa hiyo unataka kusema lijualikali ni smart Zaid ya hao CAG waliopitia, ndo maana Magufuli anawapa kipaumbele watu wanaotoka upinzaniHivi unafahamu Auditor anachohitaji akiwa anafanya auditing?
Vikao vya chadema una-hudhuriaga vya kamati kuuKama alipewa ridhaa haya malalamiko yatoke wapi? Jiulize kabla ya kuuliza.
Peleka basi vielelezo vyake, kama vipo hamna haja ya nyie kujiliza kwa kukamua mchozi.Kwa hiyo ndio Dj azikwapue. Si zilikuwa zimewekwa kwenye fixed account ajili ya uchaguzi.
Haraka yako nini wakati Pccb wanafanya kazi.Peleka basi vielelezo vyake, kama vipo hamna haja ya nyie kujiliza kwa kukamua mchozi.
Kazi ya takukuru ni kuzuia rushwa, na sio matumizi ya pesa hio ni kazi ya CAG kuchunguza matumizi ya fedhaHaraka yako nini wakati Pccb wanafanya kazi.
Huko ccm unakoenda nafasi ya ukatibu mkuu na ya mweka hazina huwa zinapatikanaje? Ni za kuchaguliwa au ni za kuteuliwa na mwenyekiti?kweli wabunge wa morogoro ni vilaza Sana wakiongozwa na MlingaMbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
Ukifuta maisha yatabadilika? Zanzibar yamebadlika?Chadema kwisha Habari yake
Tunasubiri October tuwafutilie mbali
UMbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
Mh... Pole sana. Naomba ulale. Ndio maana Chadema imajaa wajinga.Kazi ya takukuru ni kuzuia rushwa, na sio matumizi ya pesa hio ni kazi ya CAG kuchunguza matumizi ya fedha
Huyu eti anajiita mtoto wa mjiniYote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
Kama wakina molel, waitara ambao wakija huko wanapewa vyeo fasta, we endelea kupigania buku 7 ndo saizi yakoMh... Pole sana. Naomba ulale. Ndio maana Chadema imajaa wajinga.