Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Aliijenga image yake vizuri Kama kijana tegemeo amekuja ibomoa mwishoni kwa tamaa ya Big gii.
Kuwa mwanaume Kama Nassari au Kafulila unaweka akiba ya maneno.
Ye anunue boda boda alambwe vichwa.Kuropoka ropoka anajiharibia hata aendako
 
Ameshinda mwita kuiangusha cdm kwa kuropoka kwake sembuse huyu ambae tai,suti, pafyumu kajifunzia cdm baada ya kuokotwa.
 
Yeye aliwekeza milioni 6 amevuna mamilioni for 5 yrs,plus watakacholipwa,da Mimi hata wangenitimua bonge la mtaji wa kuanzia kiwanda kabisa ambao hata ukiajiriwa utokaa uvipate
 
Kuna nguvu kubwa sana kwenye kukaa kimya tambueni hata ubunge kushinda ni kwa nguvu ya chadema na sio nyie wenyewe jifunzeni kwa Joshua nassari alisepa kimya kimya ingawa baadae akijua a lipokosea akalamba mpunga wa ccm akachill kimya.
Yule akili kubwa alilamba kimyakimya kiaina bila kunyea kambi kotekote,maisha sio leo.Sio kina mwita,katambi, mollel,ni lzm wamsujudie mwenyekiti ili waishi.Jamaa mkataba wake ukiisha hawana Chao pia
 
CAG hajafanya Forensic Accounting kwa kiswahili Ukaguzi Maalum bali alifanya Normal Auditing kuangalia by sampling sasa kwa kuwa kuna wabunge wamelalamika kuna wizi ndiyo hapo TAKUKURU au Polisi wanaingia kufanya Forensic Investigation wakiona inafaa basi wanaweza kumwomba CAG kufanya Forensic Accounting ama la.
Ulisoma ripoti ya msando juu ya ukaguzi wa Mali za ccm mapungufu yalionekana vipi lini takukuru wataenda kuchunguza maana mwaka wa tatu huu tangu ripoti ulipotoka ya uhakiki.Uoni Kama ni muendeleze ule ule uliozoeleka
 
Mkataba mbali sana October tu maana hawatakuwa na political influence na kura za maoni hawawezi peleka watu wasiokuwa na ushawishi tena.... Ushawaishi wao ulitokana na nguvu ya chadema kutegemea polisi,wakurugenzi na tiss itakuwa ngumu sana maana hata boss wao ana mtihani na kizingiti cha chama akipite alafu kuna mdude wa kujenga hoja na ushawishi tundu lissu aje amshinde..... Watapoteana hutaamini
 
Sheria ya kodi Ina loop-hole nyingi ndo mchezo wanaofanya wafanyabiashara dunia nzima, ni ngumu sana kumtia hatiani mtu aliyetumia loop-hole kwenye sheria za Kodi kukwepa Kodi.

CAG aliwakagua anaangalia risiti zote na chadema wakajibu quarrels zote za CAG ndo maana wanapewa hati safi

Kuna mwaka Amazon alilipa zero tax watu waliishia kumlalamikia bezos, lakin wanalindwa kumtia hatiani sababu alicheza na loop-hole zilizopo kwenye sheria ya kodi ya marekani. Kwa mtu mwenye utimamu wa akili hawez msupport lijualikali anaongea international pumba point, unless awe mshabiki wa ccm
Hujui sheria za kodi za Tz nyamaza
 
Born town huyo
1590858802416.jpg
 
Back
Top Bottom