Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Peter Lijualikali aweka wazi uozo ndani ya CHADEMA

Mtashangaa kwenye kura za maoni mtakavyobadilikiwa na kupigwa chini maana hamtakuwa na msaada tena ccm watawataka wenye nguvu na influence kwa watu na ndio mtajuta majuto ni mjukuu.

Ezekiel wenje katunza heshima yake wana nyamagana bado wanpenda ingawa hayupo bungeni nguvu yake na mtiti wake jimboni unakubalika inaitwa kutunza legacy uliyoijenga...
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba
CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe na wapambe wake wa karibu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
Kwa mawazo yako haya, wewe Huna uchungu wamaendeleo ya Chama chako,

Kwa mawazo yako, Africa inasafari ndefu Sana kujikomboa, na ndiyo maana ni Africa pekee watu wake wanaiba Mali na kwenda kuzificha ughaibuni

Vyama tunavipenda, Lakini visitufanye kuendelea kuupenda umaskini, siko tayari kuendelea kuona Kodi za Watanzania zikitafunwa na wachache, hata kama Akiwa Baba yangu mzazi, piga jela, unawaibia watanzania, Watanzania wanaumaskini wa kutupwa, halafu kumbe kina mmoja tu anayesababisha hayo? Tanzania ni zaidi ya Chama,

Hapa, simzungumzii mtu mmoja tu, wezi wote kutoka Vyama Vyote, wanapaswa kupingwa na kila mtanzania, haijalishi Yuko CCM wala Chama gani,

Nina miaka 32 sasa, ole siku niwe Raisi wa nchi hii, wazungu wataninyonga Kwa sababu nimenyonga majizi ya nchi yangu, yaani mtu mmoja anasababisha umaskini wa watu wengi, Lisa ni Kiongozi na anawafuasi wa watu wengi

Hivi unajua, ni ajira za watu wangapi hushindwa kupatikana Kwa sababu ya matumizi mabovu ya Pesa? Wewe unaona kawaida tu siyo?

Fikiria kabla ya kupenda kila kitu, Chadema ni Chama cha Watanzania na sio Mali ya mtu!
 
CAG hafanyi investigation bali auditing. Unajua tofauti ya investigation na auditing?
Auditing Ina involve matumizi mabaya ya fedha na ndo kitu mbowe anacholalamikiwa, wabunge wametoa michango kwa ridhaa yao na wanalalamika imetumika vibaya hiyo ndo concern yao,

Auditor anaangalia je ni kweli fedha zimetumika vibaya na sio kuwapeleka takukuru
 
Kwa mawazo yako haya, wewe Huna uchungu wamaendeleo ya Chama chako,

Kwa mawazo yako, Africa inasafari ndefu Sana kujikomboa, na ndiyo maana ni Africa pekee watu wake wanaiba Mali na kwenda kuzificha ughaibuni...
Ela ya chadema inakuuma na vipi ile trillion 1.5 isiyo na maelezo, na vipi kangi lugola mbona hawajapelekwa mahakamani, tuache unafki
 
Ela ya chadema inakuuma na vipi ile trillion 1.5 isiyo na maelezo, na vipi kangi lugola mbona hawajapelekwa mahakamani, tuache unafki
Ukipenda Sana ukija kuzinguliwa unaweza kufa Kwa presha, punguza mapenzi kuhusu Chama, wekeza upendo Kwa familia yako ndugu na jamaa,

Nisome tena, sijaandika kuihusu chadema pekee mkuu, nachukua majizi yote, jizi hata likiwa CCM ni jizi tu, hatuwezi kuendelea kukumbatia majizi na tukifanya hivyo, maana yake tunafurahia kunyonywa na kuendelea kuwa maskini, dhambi ni dhambi Tu, haijalishi kaifanya baba mzazi au kiongozi wa Chama ni dhambi Tu!
 
Swala sio mahaba, Tanzania tokea Uhuru almost miaka 60 inaongozwa na ccm, huwez include vyama vingine kwenye Mambo ya ufisadi ambao huipendi, ambavyo havijawahi kupewa dhamana ya kuiongoza nchi, huwez mjudge mtu ambaye hujawahi mpa nafasi
 
Daah, mkuu, nadhani umenielewa kile nimeandika, kinachofuata unaniingizia mada mpya, narudia tena, hapa sijazungumzia Chama kushika Dola, nilichosema, ni pale mtu anapotuhumiwa kuiba pesa, na kabla hata ya uchunguzi wa hilo, watu wanamtetea,

Mkuu, hapa Mimi nimechelewa kuwa na maisha bora, kuna vijana wasomi mitaani hawana kazi, hayo yoote ni Kwa sababu ya matumizi mabovu na wizi uliokithiri serikalini na ndani ya Vyama, mf, kama ni kweli pesa huwa zinapigwa Chadema na hao watu wachache, ni Kwa kiasi gani Chama kinaathirika katk kujitanua kwake, ni ofsi ngapi zingejengwa na kuhitajika wajiriwa wapya kwenye ofsi hizo

Kama kweli hizo 1.5 t. Zimeibwa, ni watu wangapi wangepata Ajira katika sehemu ambako zingeelekezwa?

Halafu wewe unatetea wezi, Wakati huohuo unataka Ajira, punguzeni mahaba kwenye vitu visivyo maana

Tanataka Tanzania na viongozi wote nchini kutenda haki na kusimamia haki,

Fumbua macho mkuu, tustetee kila kitu
 
We kijana maneno ya kukaririshwa hutaweza kuichafua CHADEMA sana sana watanzania watakuona ni mchumia tumbo mmoja . Walikuwepo watu mashuhuri kina DR. Mihogo lakini CHADEMA ikapeta itakuwa weye!

Kubakia kimya pia huwa ni busara, jifunze kuwa na akiba ya maneno bado una muda mrefu sana wa kufanya siasa.
 
Kwani kisheria mwenyekiti wa chama hatakiwi kuwa mmoja wa signatories! Mimi nilizani labda Mbowe ndiye pekee ayesaini kutoa mzigo kumbe yeye ni mmojawapo!

Huyu kijana toka ameanza kupewa platform za kueneza propaganda zake ameonyesha kiasi gani kichwani hazitoshi.

Nashukuru kupitia huyu kijana najua kuna degree za library sikuwa najua kabla ya hapo:
 
Kwa lipi? Chadema iingekwisha Zitto alipotolewa, Chadema kingekwisha Dr Slaa alipotoka. Hizi tuhuma za hawa jamaa mbona ni za siku nyingi sana. Cdm is here to stay.!
We unaona Chadema wakati Dr Slaa yupo ni sawa na hii ya leo? Yaani huoni tofauti?
 
Daah, mkuu, nadhani umenielewa kile nimeandika, kinachofuata unaniingizia mada mpya, narudia tena, hapa sijazungumzia Chama kushika Dola, nilichosema, ni pale mtu anapotuhumiwa kuiba pesa, na kabla hata ya uchunguzi wa hilo, watu wanamtetea,

Mkuu, hapa Mimi nimechelewa kuwa na maisha bora, kuna vijana wasomi mitaani hawana kazi, hayo yoote ni Kwa sababu ya matumizi mabovu na wizi uliokithiri serikalini na ndani ya Vyama, mf, kama ni kweli pesa huwa zinapigwa Chadema na hao watu wachache, ni Kwa kiasi gani Chama kinaathirika katk kujitanua kwake, ni ofsi ngapi zingejengwa na kuhitajika wajiriwa wapya kwenye ofsi hizo...
CAG alikua anawapa hati Safi, inamaana CAG wote waliopitia ni incompetent sababu wameshimdwa kuona huo wizi wa chadema na badala yake wamekua wakiwapa hati safi
 
We unaona Chadema wakati Dr Slaa yupo ni sawa na hii ya leo? Yaani huoni tofauti?
Utofauti ni kwamba Sasa hivi wamenyimwa haki yao ya kikatiba maksudi, ya kufanya mikutano, kipindi Cha slaa haki yao ya kikatiba walikua wanapewa ndo utofauti huo
 
hizi tuhuma zilianza kipindi cha maremu bob chacha wangee.... zikaenda mapaka kwa akina zitto kabwe..na sasa ni lijuali
ali.......HAPA KUNA UKWELI BANDUGU NA TUSIPUUZE KILA SHUTUMA
na
 
Mkuu asema tuliyoambiwa kwenye kikao hivi huyu anajielewa kweli?
Lakini si mlikua na vikao vya ndani kwanini hujayasema hayo? leo umetoka ndo uanongea huon kama wewe ndio problem kama si tatizo, unaumia umekaa tu siku zote hizo kwani chadema ni mama yako?
 
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
Upuuzi mtupu jamaa domo inaonesha linavuta bhangi maana sio kwa ujinga huu
 
Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
Shame kimya kimya ill iwe nini?La kuvunda halin ubani.Bila kuyafichua vyema haiwezi Marika na kuwa katika sura ya kushindania kuongeza nchi.Vinginevyo Vyema yetu vya Upinzani nikabaki katika hadi ya SACCOS na Wanaharakati tu huku wakipiga hela kifisadi.
 
Auditing Ina involve matumizi mabaya ya fedha na ndo kitu mbowe anacholalamikiwa, wabunge wametoa michango kwa ridhaa yao na wanalalamika imetumika vibaya hiyo ndo concern yao,

Auditor anaangalia je ni kweli fedha zimetumika vibaya na sio kuwapeleka takukuru
CAG hajafanya Forensic Accounting kwa kiswahili Ukaguzi Maalum bali alifanya Normal Auditing kuangalia by sampling sasa kwa kuwa kuna wabunge wamelalamika kuna wizi ndiyo hapo TAKUKURU au Polisi wanaingia kufanya Forensic Investigation wakiona inafaa basi wanaweza kumwomba CAG kufanya Forensic Accounting ama la.
 
Back
Top Bottom