Prof alvin
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 146
- 487
CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe na wapambe wake wa karibu.Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba
CAG hafanyi investigation bali auditing. Unajua tofauti ya investigation na auditing?Kati ya yeye na CAG ambaye ni professional yake Nani mkweli
Kwa mawazo yako haya, wewe Huna uchungu wamaendeleo ya Chama chako,Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
Auditing Ina involve matumizi mabaya ya fedha na ndo kitu mbowe anacholalamikiwa, wabunge wametoa michango kwa ridhaa yao na wanalalamika imetumika vibaya hiyo ndo concern yao,CAG hafanyi investigation bali auditing. Unajua tofauti ya investigation na auditing?
Ela ya chadema inakuuma na vipi ile trillion 1.5 isiyo na maelezo, na vipi kangi lugola mbona hawajapelekwa mahakamani, tuache unafkiKwa mawazo yako haya, wewe Huna uchungu wamaendeleo ya Chama chako,
Kwa mawazo yako, Africa inasafari ndefu Sana kujikomboa, na ndiyo maana ni Africa pekee watu wake wanaiba Mali na kwenda kuzificha ughaibuni...
Ukipenda Sana ukija kuzinguliwa unaweza kufa Kwa presha, punguza mapenzi kuhusu Chama, wekeza upendo Kwa familia yako ndugu na jamaa,Ela ya chadema inakuuma na vipi ile trillion 1.5 isiyo na maelezo, na vipi kangi lugola mbona hawajapelekwa mahakamani, tuache unafki
Swala sio mahaba, Tanzania tokea Uhuru almost miaka 60 inaongozwa na ccm, huwez include vyama vingine kwenye Mambo ya ufisadi ambao huipendi, ambavyo havijawahi kupewa dhamana ya kuiongoza nchi, huwez mjudge mtu ambaye hujawahi mpa nafasiUkipenda Sana ukija kuzinguliwa unaweza kufa Kwa presha, punguza mapenzi kuhusu Chama, wekeza upendo Kwa familia yako ndugu na jamaa,
Nisome tena, sijaandika kuihusu chadema pekee mkuu, nachukua majizi yote, jizi hata likiwa CCM ni jizi tu, hatuwezi kuendelea kukumbatia majizi na tukifanya hivyo, maana yake tunafurahia kunyonywa na kuendelea kuwa maskini, dhambi ni dhambi Tu, haijalishi kaifanya baba mzazi au kiongozi wa Chama ni dhambi Tu!
Daah, mkuu, nadhani umenielewa kile nimeandika, kinachofuata unaniingizia mada mpya, narudia tena, hapa sijazungumzia Chama kushika Dola, nilichosema, ni pale mtu anapotuhumiwa kuiba pesa, na kabla hata ya uchunguzi wa hilo, watu wanamtetea,Swala sio mahaba, Tanzania tokea Uhuru almost miaka 60 inaongozwa na ccm, huwez include vyama vingine kwenye Mambo ya ufisadi ambao huipendi, ambavyo havijawahi kupewa dhamana ya kuiongoza nchi, huwez mjudge mtu ambaye hujawahi mpa nafasi
We unaona Chadema wakati Dr Slaa yupo ni sawa na hii ya leo? Yaani huoni tofauti?Kwa lipi? Chadema iingekwisha Zitto alipotolewa, Chadema kingekwisha Dr Slaa alipotoka. Hizi tuhuma za hawa jamaa mbona ni za siku nyingi sana. Cdm is here to stay.!
CAG alikua anawapa hati Safi, inamaana CAG wote waliopitia ni incompetent sababu wameshimdwa kuona huo wizi wa chadema na badala yake wamekua wakiwapa hati safiDaah, mkuu, nadhani umenielewa kile nimeandika, kinachofuata unaniingizia mada mpya, narudia tena, hapa sijazungumzia Chama kushika Dola, nilichosema, ni pale mtu anapotuhumiwa kuiba pesa, na kabla hata ya uchunguzi wa hilo, watu wanamtetea,
Mkuu, hapa Mimi nimechelewa kuwa na maisha bora, kuna vijana wasomi mitaani hawana kazi, hayo yoote ni Kwa sababu ya matumizi mabovu na wizi uliokithiri serikalini na ndani ya Vyama, mf, kama ni kweli pesa huwa zinapigwa Chadema na hao watu wachache, ni Kwa kiasi gani Chama kinaathirika katk kujitanua kwake, ni ofsi ngapi zingejengwa na kuhitajika wajiriwa wapya kwenye ofsi hizo...
Utofauti ni kwamba Sasa hivi wamenyimwa haki yao ya kikatiba maksudi, ya kufanya mikutano, kipindi Cha slaa haki yao ya kikatiba walikua wanapewa ndo utofauti huoWe unaona Chadema wakati Dr Slaa yupo ni sawa na hii ya leo? Yaani huoni tofauti?
Lakini si mlikua na vikao vya ndani kwanini hujayasema hayo? leo umetoka ndo uanongea huon kama wewe ndio problem kama si tatizo, unaumia umekaa tu siku zote hizo kwani chadema ni mama yako?Mkuu asema tuliyoambiwa kwenye kikao hivi huyu anajielewa kweli?
Upuuzi mtupu jamaa domo inaonesha linavuta bhangi maana sio kwa ujinga huuMbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Peter Lijuakali ameweka bayana mambo mbalimbali yaliyojicha katika chama juu ya matumizi mbalimbali ya Chama ikiwemo fedha zinazopatikana na kuingia katika Chama kile, Mheshimiwa Peter Lijuakali ameenda mbali zaidi na kueleza kwamba...
Shame kimya kimya ill iwe nini?La kuvunda halin ubani.Bila kuyafichua vyema haiwezi Marika na kuwa katika sura ya kushindania kuongeza nchi.Vinginevyo Vyema yetu vya Upinzani nikabaki katika hadi ya SACCOS na Wanaharakati tu huku wakipiga hela kifisadi.Yote haya ya nn Kama ukiondoka kimywa kimya shida ni Nini.Nawashauri wabunge wakihama vyama wahame kimya kimya.
CAG hajafanya Forensic Accounting kwa kiswahili Ukaguzi Maalum bali alifanya Normal Auditing kuangalia by sampling sasa kwa kuwa kuna wabunge wamelalamika kuna wizi ndiyo hapo TAKUKURU au Polisi wanaingia kufanya Forensic Investigation wakiona inafaa basi wanaweza kumwomba CAG kufanya Forensic Accounting ama la.Auditing Ina involve matumizi mabaya ya fedha na ndo kitu mbowe anacholalamikiwa, wabunge wametoa michango kwa ridhaa yao na wanalalamika imetumika vibaya hiyo ndo concern yao,
Auditor anaangalia je ni kweli fedha zimetumika vibaya na sio kuwapeleka takukuru