Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
No
Nimeelewa sindano
OkyChildish
Yule akili kubwa alilamba kimyakimya kiaina bila kunyea kambi kotekote,maisha sio leo.Sio kina mwita,katambi, mollel,ni lzm wamsujudie mwenyekiti ili waishi.Jamaa mkataba wake ukiisha hawana Chao piaKuna nguvu kubwa sana kwenye kukaa kimya tambueni hata ubunge kushinda ni kwa nguvu ya chadema na sio nyie wenyewe jifunzeni kwa Joshua nassari alisepa kimya kimya ingawa baadae akijua a lipokosea akalamba mpunga wa ccm akachill kimya.
Ulisoma ripoti ya msando juu ya ukaguzi wa Mali za ccm mapungufu yalionekana vipi lini takukuru wataenda kuchunguza maana mwaka wa tatu huu tangu ripoti ulipotoka ya uhakiki.Uoni Kama ni muendeleze ule ule uliozoelekaCAG hajafanya Forensic Accounting kwa kiswahili Ukaguzi Maalum bali alifanya Normal Auditing kuangalia by sampling sasa kwa kuwa kuna wabunge wamelalamika kuna wizi ndiyo hapo TAKUKURU au Polisi wanaingia kufanya Forensic Investigation wakiona inafaa basi wanaweza kumwomba CAG kufanya Forensic Accounting ama la.
Hujui sheria za kodi za Tz nyamazaSheria ya kodi Ina loop-hole nyingi ndo mchezo wanaofanya wafanyabiashara dunia nzima, ni ngumu sana kumtia hatiani mtu aliyetumia loop-hole kwenye sheria za Kodi kukwepa Kodi.
CAG aliwakagua anaangalia risiti zote na chadema wakajibu quarrels zote za CAG ndo maana wanapewa hati safi
Kuna mwaka Amazon alilipa zero tax watu waliishia kumlalamikia bezos, lakin wanalindwa kumtia hatiani sababu alicheza na loop-hole zilizopo kwenye sheria ya kodi ya marekani. Kwa mtu mwenye utimamu wa akili hawez msupport lijualikali anaongea international pumba point, unless awe mshabiki wa ccm
Sheria Zina loop-hole Kama ulikua hujui ndo ujue sasa, ndo maana baada ya mda zinaboreshwa ili kupunguza loop holes zilizopoHujui sheria za kodi za Tz nyamaza