Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

Hiyo sio charge ni complaint. Ni maombi ya kutaka mtuhumiwa agunguliwe mashtaka. Inaonekana Public Prosecutor anataka kukwepesha kesi ndio maana madeleka anaomba kibali afungue kesi kwa niaba ya Jamhuri. Jamhuri ni jamii yote ya Tanzania sio serikali.
Kibali kinaombwa kwa maombi madogo. Mis Criminal application
 
Kwa kuwa dola ya kishenzi inafanya mambo ya kishenzi ya kupindisha haki kwasabb za kishenzi basi hata kesi ikifunguliwa na kuendeswa na malaika dola ya kishenzi itaharibu tu.
Ujenzi wa daraja la Busisi unaendeleaje vizuri sana. Kazi iliyoanzishwa na chuma Magufuli inaendelezwa na Samia
 
Hata wamsafishe vipi huyo pauline, mbele ya uso wa Mungu hakubaliki, mbele ya uso wa jamii hakubaliki labda kwa wakatili wenzake.

Madeleka apunguze kuweka kila kitu kwa social media. Kama amekusudia kuwa mwanasheria wa huyu kijana aweke siasa na visasi pembeni.
Lkn wewe pokawa,hizi ni tuhuma tu kwa gekul,hakuna aliyedhibitisha kuwa gekul ana hatia au ni kweli katenda. Na kama kutuhumiwa tu tayari na jamii inakuhukumu,basi ingekuwa kazi.tusipende kuhukumu kwa chuki na ushabiki.
 
Kwa kuwa dola ya kishenzi inafanya mambo ya kishenzi ya kupindisha haki kwasabb za kishenzi basi hata kesi ikifunguliwa na kuendeswa na malaika dola ya kishenzi itaharibu tu.
Naunga mkono hoja,haya mambo ya kishenzi yanayofanywa na serikali,mie yananikela sana,yaani wakubwa wamekuwa wakiamua wao,Nani afungwe na nani asifungwe.ni kama walivyofanya kwa mbowe,ushahidi woote uko waazi,watu wamejitolea kutoa ushahidi,vyombo vyoote vinavyohusika vilitimiza wajibu wake.lkn kwa sababu zisizojulikana,mbowe na wenzio wakaachiwa.
 
Hiyo sio charge ni complaint. Ni maombi ya kutaka mtuhumiwa afunguliwe mashtaka.

Inaonekana Public Prosecutor anataka kukwepesha kesi ndio maana madeleka anaomba kibali afungue kesi kwa niaba ya Jamhuri. Jamhuri ni jamii yote ya Tanzania sio serikali.

Rudi kaisome vizuri. Halafu uje tena.
 
Remember our judicial system recognize also private prosecution in criminal cases however, DPP at any stage may intervene either to procecute or to withdraw with or without notice
Under which law?
Is this the same Penal Code [Cap. 16. RE . 2022]? Or Criminal Procedure Act [Cap. 20. RE 2022]?
 
Sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai Ina kifungu Cha mtu binafsi kuendesha shitaka la jinai, ila lazima apate kibali Cha mahakama.

Ninavyoona, Madeleka anamuharibia kesi huyu dogo, Dola itafanya juu chini kumuhujumu dogo ili kumkomesha Madeleka.

Kama dogo ana akili aachane na hawa wanasiasa waliojivika uanasheria
Kwani kapeleka kesi kama mwanasiasa au Wakili ambaye ni Ofisa wa Mahakama pia?
Serikali ikitaka ijionyeshe kuwa inatimiza wajibu isitoe kibali cha kesi hiyo kuendeshwa kwa utaratibu huo bali imkamate muhusika na kuendesha kesi hiyo yenyewe kupitia DPP.
VINGINEVYO, kwa ajili ya Gekul tuu imani kwa serikali ya CCM huko Kateshi imepotea.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi niliwaambia humu watu kuwa kwa mfumo huo wa mahakama namhurumia yule dogo kama atapata haki yake kwa alichonyiwa.

Ni wiki sasa tangu upepo uliovuma kila kona Gekul Gekul sasa wiki tu upepo umeisha Gekul akaenda polisi akapewa hadi na sehemu ya kuchaji simu ila kina Mdude wakisema kuna maandamano kesho usiku tu washakamatwa na simu zao zinschukuliwa. Watanzania wepesi kusahau sana.

Niwaulize tu je hukumu na Madeni ya Cyprian Musiba kwa late Membe na Fatma Karume yalishalipwa?

Waliotajwa kwa ubadhirifu report ya CAG mwezi March walifungwa?
 
Ndugu wa huyo kijana wachukue sheria mkononi tu wampasue huyo Gekul
 
Sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai Ina kifungu Cha mtu binafsi kuendesha shitaka la jinai, ila lazima apate kibali Cha mahakama.

Ninavyoona, Madeleka anamuharibia kesi huyu dogo, Dola itafanya juu chini kumuhujumu dogo ili kumkomesha Madeleka.

Kama dogo ana akili aachane na hawa wanasiasa waliojivika uanasheria
Section 99(1)(3) CPA
 
Wanasiasa waliojivika uanasheria!!! Kwani kuwa mwanasheria kunazuia mtu hasiwe mwasnasiasa? Shida yetu wtz, hatuwapokei positively watu wanaoihoji serikali juu ya jambo lolote hasa linaloenda kinyume na matakwa ya serikali hata kama wako sahihi.

Kama mahakama ipo kwa ajili ya kutenda haki ktk kesi hii hiyo haki itatenda, lakini kama serikali na viongozi wa kisiasa ndiyo wanaoiamulia mahakama nani apewe haki na nani hasipewe, basi hata kama huyu wakili asingesimia hii kesi haki haitokaa itendeke.
 
Back
Top Bottom