Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
- Thread starter
-
- #21
Kibali kinaombwa kwa maombi madogo. Mis Criminal applicationHiyo sio charge ni complaint. Ni maombi ya kutaka mtuhumiwa agunguliwe mashtaka. Inaonekana Public Prosecutor anataka kukwepesha kesi ndio maana madeleka anaomba kibali afungue kesi kwa niaba ya Jamhuri. Jamhuri ni jamii yote ya Tanzania sio serikali.
Ujenzi wa daraja la Busisi unaendeleaje vizuri sana. Kazi iliyoanzishwa na chuma Magufuli inaendelezwa na SamiaKwa kuwa dola ya kishenzi inafanya mambo ya kishenzi ya kupindisha haki kwasabb za kishenzi basi hata kesi ikifunguliwa na kuendeswa na malaika dola ya kishenzi itaharibu tu.
Lkn wewe pokawa,hizi ni tuhuma tu kwa gekul,hakuna aliyedhibitisha kuwa gekul ana hatia au ni kweli katenda. Na kama kutuhumiwa tu tayari na jamii inakuhukumu,basi ingekuwa kazi.tusipende kuhukumu kwa chuki na ushabiki.Hata wamsafishe vipi huyo pauline, mbele ya uso wa Mungu hakubaliki, mbele ya uso wa jamii hakubaliki labda kwa wakatili wenzake.
Madeleka apunguze kuweka kila kitu kwa social media. Kama amekusudia kuwa mwanasheria wa huyu kijana aweke siasa na visasi pembeni.
Naunga mkono hoja,haya mambo ya kishenzi yanayofanywa na serikali,mie yananikela sana,yaani wakubwa wamekuwa wakiamua wao,Nani afungwe na nani asifungwe.ni kama walivyofanya kwa mbowe,ushahidi woote uko waazi,watu wamejitolea kutoa ushahidi,vyombo vyoote vinavyohusika vilitimiza wajibu wake.lkn kwa sababu zisizojulikana,mbowe na wenzio wakaachiwa.Kwa kuwa dola ya kishenzi inafanya mambo ya kishenzi ya kupindisha haki kwasabb za kishenzi basi hata kesi ikifunguliwa na kuendeswa na malaika dola ya kishenzi itaharibu tu.
Hahahahahaha bado imechomekewaKwani ile Chupa aliyomwingiza huyo Kijani imesha chomolewa?
Hiyo sio charge ni complaint. Ni maombi ya kutaka mtuhumiwa afunguliwe mashtaka.
Inaonekana Public Prosecutor anataka kukwepesha kesi ndio maana madeleka anaomba kibali afungue kesi kwa niaba ya Jamhuri. Jamhuri ni jamii yote ya Tanzania sio serikali.
Under which law?Remember our judicial system recognize also private prosecution in criminal cases however, DPP at any stage may intervene either to procecute or to withdraw with or without notice
Kwani kapeleka kesi kama mwanasiasa au Wakili ambaye ni Ofisa wa Mahakama pia?Sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai Ina kifungu Cha mtu binafsi kuendesha shitaka la jinai, ila lazima apate kibali Cha mahakama.
Ninavyoona, Madeleka anamuharibia kesi huyu dogo, Dola itafanya juu chini kumuhujumu dogo ili kumkomesha Madeleka.
Kama dogo ana akili aachane na hawa wanasiasa waliojivika uanasheria
Section 99(1)(3) CPASheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai Ina kifungu Cha mtu binafsi kuendesha shitaka la jinai, ila lazima apate kibali Cha mahakama.
Ninavyoona, Madeleka anamuharibia kesi huyu dogo, Dola itafanya juu chini kumuhujumu dogo ili kumkomesha Madeleka.
Kama dogo ana akili aachane na hawa wanasiasa waliojivika uanasheria
Wanasiasa waliojivika uanasheria!!! Kwani kuwa mwanasheria kunazuia mtu hasiwe mwasnasiasa? Shida yetu wtz, hatuwapokei positively watu wanaoihoji serikali juu ya jambo lolote hasa linaloenda kinyume na matakwa ya serikali hata kama wako sahihi.Sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai Ina kifungu Cha mtu binafsi kuendesha shitaka la jinai, ila lazima apate kibali Cha mahakama.
Ninavyoona, Madeleka anamuharibia kesi huyu dogo, Dola itafanya juu chini kumuhujumu dogo ili kumkomesha Madeleka.
Kama dogo ana akili aachane na hawa wanasiasa waliojivika uanasheria