Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani?

Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania.

Wakenya wamemlaani kijana huyo na kusema malipo ni hapa hapa duniani.

Pia soma > Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa


Peter Noel Msangi akiwa na Millicent Omanga​
 
Wapare Kwa ngono ni kama chadema na vidole viwili
 
Ana bonge la shape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…