Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Mnapenda kujificha kwenye hako kamsemo hata kasipohitajika.

Hakuna ubaya kudiscus watu, kupitia watu tunajifunza vitu vingi sana.

Makosa yao, kufeli kwao au mafanikio yao ni chachu ya mabadiliko kwa wengine.

Usiogope kudiscus watu kisa hiyo quote hapo, usijilimit mkuu.
Fungua mbongo hiyo uwaze vyema na sio kudepend mawazo ya ancestors kama hao unaowaquote.
 
Huwa JF haidanganyi,kuna siku watu watakuja kuufufua huu uzi,JF iheshimiwe sana.
 
Sawa sawa.. ila mkumbuke unene mwingine ni asili (genetic)..
Si ajabu ukute akienda kufanya check up wanakuta vitals (pressure, sukari, cholestrol n.k.) zote ziko sawa.. si unaona katupia hayo magoli mawili..
Cha muhimu azingatie cardio..
 
Sawa sawa.. ila mkumbuke unene mwingine ni asili (genetic)..
Si ajabu ukute akienda kufanya check up wanakuta vitals (pressure, sukari, cholestrol n.k.) zote ziko sawa.. si unaona katupia hayo magoli mawili..
Cha muhimu azingatie cardio..
Anaweza kuwa sawa leo ila baada ya muda kodogo majanga
 
NIMEMWONA ANAVYOTEMBEA AISEE DOGO ATAKUWA KAANDIKA WOSIA TAYARI NA NAN WA KUMRITHI MKEWE DAH HATARESAANA ANYWAY..AJITAHIDI KUNUNUA KITALU MAPEMA UNUNUNIOO
 

Attachments

  • Screenshot_20240422-230324_Facebook.jpg
    452.7 KB · Views: 1
Hapa ndipo wenzetu wanapotupiga gap, kwa ufahamu wa aina hii!

Wenzetu wanawaza na kufikiri vitu productive kwenye maisha yao ya sasa na hata baadae:-
How can human survive on the moon, mars and other planet?
Why earth is no longer better place for supporting human life?
How can we discover a better green technology?
How can we modernize the modern cities through the use of modern technology?


Wewe upo kwenye dunia ya tatu unawaza ku-discuss unene wa mwili wa mtu na tumbo lake yaani body morphology yake.
Vitu vingine mnavipa maana wakati havina maana - wewe Peter Msechu unamjua au unamfahamu?
Coz, when it comes to body morphology kuna factors nyingi zinachangia mtu kuwa hivyo alivyo usifikiri anapenda, kama mnavyofikiri kwa akili za haraka haraka:-
1. Diet 2. Genetics 3. Environment 4. Lack of Physical activities 5. Medications n.k

Ndio maana, sikutaka tufike huku tulipofika coz naelewa kuna factors nyingi zinapelekea mtu kuwa vile alivyo, ndio maana nikasema ya Msechu tumuachie Msechu, sababu yeye anajielewa vizuri kuliko sisi tumuelewavyo.

Kuhusu issue ya ancestors ina matter zaidi linapokuja swala ya dunia ya sasa, hii dunia haikuanzia hapa, that's why kuna kamsemo kanasema "Hakuna jipya chini ya jua". Lazima uelewe kwenye jambo lolote lile, wewe sio wa kwanza na wewe hautakuwa wa mwisho.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kijana maisha hayako serious kiasi hicho.
Russia, USA, China huko wao muda wote wanadiscuss hizo vitu ulizoainisha huko juu??

Hizi mambo mlizokalilishwa hizi, yaani unadhani nchi zilizopiga hatua, nchi nzima wana shughuli moja tu ya kuwaza kuishi mwezini, anachowaza Elon Musk ndicho anachokiwaza Lil Wayne huko USA sio??

Elon/NASA wakiwa wanalounch missiles zao basi wafuatiliaji ni nchi nzima sio coz nchi nzima iko serious na kwenda MarsπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

Kama maisha yangekua hivyo utakavyo wengi tungesepa mapema hii dunia hakuna burudani ni mwendo wa kuwaza hizo vitu zako.

Peter Msechu ni maarufu, kama nilivyokwambia awali, ni public figure anafuatiliwa nacwengi.
Program zake za kupunguza mwili anaziweka hadharani, sasa watu wakicomment wewe unaona hawako serious na kwenda Mars.
 
Kuelewa maana yake ni kubadilisha mtazamo; kama huwezi kubadilisha mtazamo basi huwezi kuelewa, Huwezi kuelewa kama hujataka kuelewa. Ndivyo ilivyo, nothing else.

I'm done with you.
 
Kuelewa maana yake ni kubadilisha mtazamo; kama huwezi kubadilisha mtazamo basi huwezi kuelewa, Huwezi kuelewa kama hujataka kuelewa. Ndivyo ilivyo, nothing else.

I'm done with you.
Kuna platform za hicho unachotaka, nenda huko, labda N. Korea ndo wako serious kama hivyo.

Kina Melo walioanzisha jf hawakubase kuwaongelea wasanii coz maybe sio mambo zao..
Ila wanaelewa kuna watu wanapenda hilo wameweka forum ya celebrities.

Cha ajabu sasa ni wewe umeingia forum ya celebrities ukakuta celebrit anajadiliwa unasema Tz hatupo serious, uko sawa kweli??

Ni sawa na uende kwa mkapa stadium siku ya simba na yanga, then ukasema lile nyomi + viongozi hawako serious kufocus na mpira wakati kuna ishu kibao za kudiscus wakati ile ni ishu ya 90 minutes then mamb mengine yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…