Peter Msechu adai kupungua kilo 7 baada kuwekewa puto Tumboni

Peter Msechu adai kupungua kilo 7 baada kuwekewa puto Tumboni

Medical Drs kwa local content siwaamini, most likely life expectancy yake itakuwa 10-15 years just my assumption based on typical errors of of our locally trained Drs, 70% guess work and learning through fatal mistakes kwenye miili yetu, huruma na roho wa Mungu hafifu sana
Kwa hiyo wewe huwaamini kina Janabi?
 
Kupungua kilo 7 katika 143 bado sana. Hivi binadamu unafikishaje uzito huo? Uzembe kupindukia.
Yaani wewe aacha tu, kuna jamaa kila nikienda ofisini kwake yeye ni coca na mavyakula mengine nimwangalia mwili wake na jinsi anavyobugia hayo mavyakukula mengine hadi namwonea huruma lkn yeye anaona ni sawa tu.
 
Baada ya ya miez 2
images-1187.jpg
 
Kupungua kilo moja ndani ya siku moja, hilo siyo jambo la kufurahia.

Kitu umekiweka kwa miaka kadhaa ukiondoe kwa siku moja. Ni hatari.
Puto likimpukutisha uzito na kumaliza kabisaa, tutamwekea kitofali tumboni ili awe na uzito wa kuzuia upepo usimpeperushe😀
 
Kupungua kwa kasi hii siyo jambo la kuchekelea.
Asijerudi kupost tena msaada nakondeana sana.
 
Hongera kwake. Hakika unene kupita kiasi ni kifo.

Bora kaweka puto kuokoa uhai wake.
Cha kujifunza hapa ni kwamba uzito wa mtu kisababishi kikuu ni ulaji wa hovyo wa chakula. Baada ya miezi 6 na puto likitolewa akaanza kula tena hovyo hovyo unene utarudi tena kama mwanzo.
 
Wanatangaza biashara ili watu wengi waende wakapate hio huduma pale
 
Cha kujifunza hapa ni kwamba uzito wa mtu kisababishi kikuu ni ulaji wa hovyo wa chakula. Baada ya miezi 6 na puto likitolewa akaanza kula tena hovyo hovyo unene utarudi tena kama mwanzo.
sahihi.
ukiendelea kubugia minyama choma na bia bado tatizo litarudi palepale.
 
Yaani wewe aacha tu, kuna jamaa kila nikienda ofisini kwake yeye ni coca na mavyakula mengine nimwangalia mwili wake na jinsi anavyobugia hayo mavyakukula mengine hadi namwonea huruma lkn yeye anaona ni sawa tu.
Huyo sasa anakitafuta kifo, coca na mazagazaga halafu anakaa kitini 12 hrs za ofisi no mazoezi.
 
ntashangaa sana kama Muhimbili watasema hii ni sawa.
Kwamba hii rate ya ushukaji wa hizi kilo ndo lengo pekee haijalishi mwili unapitia mchakato mwingine upi unaohusisha na kuathiri viungo vipi?
Kazi ipo!
Watu washafanya tafiti, au mnadhani hiyo tiba imeanzia hapa?
 
Si ndio mwili unajimeng'enya maana unajua hakuna virutubisho vipya, maana ukinywa tu maji umeshiba, mara hausikii njaa kabisa, wakati mwili unahitaji chakula hivyo mwili unaanza kujipunguza kutumia virutubisho vilivyopo mwilini
ni mafuta yaliohifadhiwa sehemu mbalimbali za mwilini, mwili unayachoma ili kujingenezea energy, maana energy iliokuwa inapata toka kwenye vyakula haipo tena au ni kidogo haitoshi.
 
Mimi napakia ili nifike japo Kg 75 ila mwili umegomea 68. Daah natamani kua chibonge
We jamaa. Ishu ni simple tu(complicated ukipenda) na ipo hivii.

Kuna watu wanajiona wadogo hivyo wanajiongeza. Inajireflect katika kila kitu.

Na kuna watu wanajiona wakubwa tayari hivyo hawaongezeki. Pia inajireflect katika kila kitu.
Jiulize mwenyewe. Je kwenye hii dunia we jamaa unahisi uko na mengi ya kutoa(abundance), au una shida ya mengi ya kukusanya(scarcity). Inaweza kuwa ego control.

Nb: Inawezekana isieleweke nnajua. Utafiti unaendelea.
 
Back
Top Bottom