Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Sehem kubwa unene unatokana na unachokula.Ala asili ya unene hata afanyeje atakua mnene tu ndo kaumbwa hivoo
Aende jela yule mwezi tu halafu uniambie kama kuna cha asili au nini.
Anapenda misosi nenda insta yake kule anatangaza migebuka.