Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Huyu jamaa inabidi akajitolee jkt 6months. Kitambi kipungue njia nyingine haiwezekani.

Vibonge wanajipenda sana kwenye maswala ya misosi, halafu huwa wanawahi sikia njaa
Mkuu Acha kabisa kupenda Kula Kula ni tatizoo sana na kazi za kukaa Sana hasa udereva wa Masafa marefu ,na kazi za ofsin jumlisha misosi ya mafuta , kufakamia mi-supu hyo, sjui chipsi , nyama nyama na nyama choma , bugger hzo, utumiaji wa sukari na hzi carbonated soft drinks ni tatizo .....alaf kitambi kikishakuja asikudanganye mtu kukitoa sio kazi rahsi labda utumie dawa nazo zina madhara .....

Mimi nilipokiona kinaanza kuja ohoooo chap kidog nikaanza kujikana nafsi 😋😀😀
 
Peter msechu
- mwaka 2011 iyo[emoji116]
images-48.jpg
images-47.jpg
 
Back
Top Bottom