Peter Msigwa aivaa Serikali kutokana na kushuka kwa nidhamu ya watumishi wa umma

Peter Msigwa aivaa Serikali kutokana na kushuka kwa nidhamu ya watumishi wa umma

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,282
Mbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini.

Msigwa amesema utendaji kazi wa watumishi wa Serikali kwa sasa ni wa hovyo sana tofauti na kipindi cha Rais Magufuli.

Sasa hivi rushwa, ufisadi na kupoteza muda ni kama fashion kwenye serikali ya Rais Samia.

 
Aende mbele huko tulivyokuwa tunasema Magufuli asapotiwe ni mwamba mkajifanya mnaleta chokochoko za uongo Mara ooh JPM kaiba trillion 1.5 upuuzi mtupu mnadhani kila MTU mtoto awaamini...yaani serikali Ipate hasara badala muishauri cha kufanya mkaamua kuwa wazushi, kila mtu ale kwa urefu Wa kamba yake sasa
 
Aende mbele huko tulivyokuwa tunasema magufuli asapotiwe no mwamba mkajifanya mnaleta chokochoko za uongo Mara ooh jpm kabia trillion 1.5 upuuzi mtupu mnadhani kila MTU mtoto awaamini...yaani serikali Ipate hasara badala muishauri cha kufanya mkaamua kuwa wazushi pumbav kila mtu ale kwa urefu Wa kamba yake sasa
Mfaniki mkubwa huyo na wenzie ..akae kimya!
 
Leo misukule ya Chato inamuona Msigwa mtu wa maana? 🤣🤣🤣
 
Mi nadhani, watu wanakwepa au wanaogopa kusema ukweli na kumkosoa Samia kama walivyofanya kwa Jiwe, kwanini?

Kila mtu ana matarajio ya kuvuna sasa kwa msingi wa uchawa!
Rahisi Yuko vzuri sana
 
Kuna msen€ mmoja TRA ameacha kumhudumia mtu eti kisa hajasikia akimsalimia … mtu amekwenda kulipa kodi kwa hiyari amesalimia hujasikia unaacha kumhudumia?
 
Back
Top Bottom